Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?
Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?