Basi tumepishana kidogo hapa. Mm nilikuwa narejelea kilio cha Irene Uwoya ambaye alikuwa analalamikia kushindwa kuendelea kulipa ada kubwa kwenye international school. Ambapo akadai mwanaye kamshuri amhamishe lkn yeye Uwoya anaona itakuwa siyo sawa.Sijakuelewa, wa njiapanda ni kijana mdogo sana anasema alisema amezaliwa 2004 kama sio 2006 hivi,
Naona yuko sawa sana na anauwezo mzuri darasani hadi international school wakamsomesha bure sehemu ambayo wanalipa hadi milioni 30 kwa mwaka.
Aache kusoma huko akasome shule za kawaida kwani ndiyo kuna uhakika wa ajira?