Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?

Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?

Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Unaishi dunia gan mkuu.
 
Wengi tu hawana
Private ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?

Sasa wewe umesoma shule ya private ya kihuni, ada milioni 2 kwa mwaka, unaita private? Wazazi wanaolipia hiyo ada wengi choka mbaya, hivyo hawana connection kwa watoto wao.
 
Mleta mada anasemea private za kawaida.
 
Private ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?

Sasa wewe umesoma shule ya private ya kihuni, ada milioni 2 kwa mwaka, unaita private? Wazazi wanaolipia hiyo ada wengi choka mbaya, hivyo hawana connection kwa watoto wao.
tunaongelea private achana na international schools
 
Ndiyo maana nikataja Feza: Feza Boys na Feza Girls ni tofauti na Feza international. Hizo ni private lkn hela yake huwezi kukuta choka mbaya wanasomesha hapo.
choka mbaya ni lugha kashfu, ila wasio na uwezo wengi tuu wanasoma hizo shule, wao wenyewe wanatafuta watu waliofanya vizuri shule za kawaida wanaenda kuwasomesha bure.

Hata taasisi nyingi zinapeleka watoto wasio na uwezo kwenye hizo shule.

Lingine hata huko international schools wasio na uwezo wako wanaosoma huko, yule aliyekuwa anaomba msaada wa nauli kwenye Njiapanda ya Clouds juzi jumapili amesoma international school moshi.
 
Ndiyo maana nikataja Feza: Feza Boys na Feza Girls ni tofauti na Feza international. Hizo ni private lkn hela yake huwezi kukuta choka mbaya wanasomesha hapo.

Mimi mdogo wangu kasoma feza boys ya necta. Chuo kasoma udsm , ila Hana ajira yupo tu anachezesha playstation mtaani.

Na rafiki zake wengi aliosoma nao feza hawana ajira.

Wazazi tu wanawabeba beba kuwapa mitaji , na hela za matumizi
 
Sasa yeye si dalali "Jobless" inatoka wapi sasa. Yeye hana ajira ila kazi anayo ambayo ni "udalali".
Udalali ni kazi na vipo vyuo vinatoa kozi hizo "Real estates brokerage".
Yeye akomae na udalali tuu.
 
yule aliyekuwa anaomba msaada wa nauli kwenye Njiapanda ya Clouds juzi jumapili amesoma international school moshi.
Sawa mkuu nimekuelewa. Ila ngoja tumjadili huyu wa njiapanda. Unamuona yuko sawa kiakili? Kwasabb hata mwanaye tu alimshauri kuwa ni bora akasone shule za kawaida ili kupunguza kero ya ada, lkn hakusikia.
 
kwani UDALALI sio kazi?
Udadali ni resilience way kwa job seeker. Unkaa kijiweni unavizia mtu anahitaji chumba umpeleke. Jobless ni fact kwa unemployed.. yani mtu ana skills lakin skill zake hajitumii yani kakosa nafasi.

Hii inaitwa forced idleness. Lakin pia unemployment rate inapimwa hata kwa mtu ambae anafanya kazi ambayo hajaisomea ikiwemo udalali, casual work au wewe leo umesomea BBA alafu unaajiriwa kama Waiter baa. Hiyo ni ishara ya tia maji tia maji na unafanya ili kusavaivu tu
 
Sasa yeye si dalali "Jobless" inatoka wapi sasa. Yeye hana ajira ila kazi anayo ambayo ni "udalali".
Udalali ni kazi na vipo vyuo vinatoa kozi hizo "Real estates brokerage".
Yeye akomae na udalali tuu.
Civil engineer kuwa dalali unamtoa kwenye jobless. Ina mana udalali ndio specialisation yake?
 
Sawa mkuu nimekuelewa. Ila ngoja tumjadili huyu wa njiapanda. Unamuona yuko sawa kiakili? Kwasabb hata mwanaye tu alimshauri kuwa ni bora akasone shule za kawaida ili kupunguza kero ya ada, lkn hakusikia.
Sijakuelewa, wa njiapanda ni kijana mdogo sana anasema alisema amezaliwa 2004 kama sio 2006 hivi,
Naona yuko sawa sana na anauwezo mzuri darasani hadi international school wakamsomesha bure sehemu ambayo wanalipa hadi milioni 30 kwa mwaka.
Aache kusoma huko akasome shule za kawaida kwani ndiyo kuna uhakika wa ajira?
 
Back
Top Bottom