Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?

Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?

Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Wapo sana, but most of them wana miss concept of education. The idea ilikuwa ni kukuoa knowledge sio kukupa kazi.
Ni huku tz kuanzia mashuleni unamuaminisha mwanafunzi kuwa atakuwa hivi atakuwa vile kumbe huko duniani nafasi hamna au mahitaji yamebadilika

Swali kwa mamlak why hawabadilishi mitaala iendane na current market?
 
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?

Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?

Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Angeenda kusoma chuo UK or USA
 
Elimu ni ufunguo wa maisha ( elimu ziko nyingi), Shule za sasa hivi ni miradi ya watu kama ilivo hizi dubu.
Mimi nilienda kurepair darasa linaitwa ICU ilo ni spesho kwa watoto wasio elewa.. kumbuka wanalipiwa ada na madaftari yao yana tiki kila page。
We jamaa unaonekana una vituko sana! 😂😂😂🙌
 
Private ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?

Sasa wewe umesoma shule ya private ya kihuni, ada milioni 2 kwa mwaka, unaita private? Wazazi wanaolipia hiyo ada wengi choka mbaya, hivyo hawana connection kwa watoto wao.
Wewe umeweka wazi mambo na umeelezea kwa ufanisi mkubwa ingawa ni maneno machache.

Watu wanaropoka sana! Yale mashule ni Next-level! Wanaosoma huko mababa na Mamama zao hawana njaa! Mostly ni wamiliki wa makampuni na wameajiri watu na wanawalipa vizuri, wengine ni viongozi wetu. Watoto wao watakosaje kazi na kuishia mitaani?!

Kama wanazungumzia hizi private za kihuni haya sawa! 😂👍
 
Mleta mada anasemea private za kawaida.
Kumbe hizi teremka tukaze😂... Hapo sawa!

Hizi za kawaida wazazi tunalipa kama kubahatisha tu! Tunacheza bahati nasibu, akijitambua huko na akafanya vizuri, huenda atapata chuo kizuri na kujitengenezea connection yake huko mapema kutokana na watu atakao kutana nao ili na yeye angalau hata aje kuambulia kanafasi ka ukarani akunje hiyo laki tatu na nusu akapange mwananyamala ajitafute kimaisha atuondolee vurugu nyumbani 😂👍
 
Jamaa yangu sana kapiga AMANI(peace) miaka ya nyuma sana(primary&seconday), advace kasoma shule moja maarufu sana ukanda wa Dar, chuo kaenda India. Now ni dalali wa moto sana.
 
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?

Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?

Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Tatizo ni wahitimu ni wengi kuliko ajira 🙄
Creation of new jobs iko na matatizo 🙄
 
Namfahamu m1, yeye alisoma kuanzia primary had Sec (O & A) shule ya kulipia, chuo akaenda SUA.

ila mzazi wake alimpa mtaji, akafungua biashara ya uwakala wa miamala ya pesa, kaendesha hovyoo imekata.

Sahivi yupo tyuu, kula kulala, kutwaaa kuzurura mtaani.
Wajinga wachache huwa wapo
 
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?

Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?

Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Tena hao ndo wengi uki compare Na ambao walisoma za kawaida
 
Mimi nimesoma shule za serikali zile za chini sana. Usisikie maneno ya wakosaji, sijawahi ona mtu kasoma private za gharama kubwa alafu analia njaa. Labda afanye makusudi kama kuvuta bangi na kuendekeza pombe.
Hadi anasoma private maana yake huyo anatoka familia yenye pesa hivyo ana network ya pesa huyo hata akikwama ajira anawekwa kwenye miradi ya familia
 
Education is better than....
Hii ili watu ama jamii igeukie kugharimikia elimu ,wakaja na ukiona elimu ghali jaribu ujinga.
Am sure elimu halisi haipatikani shuleni.
Niambie matajiri wote Kama wanachojivunia kuwa walifundishwa shuleni. Ma profesa wa uchumi wanafundisha stock investing wanakuja na earning profit ratio Ila hawezi kuwekeza kwa kutumia theories zake.
 
Back
Top Bottom