Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Inategemea yeye alienda soma Nini digriiHivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha ?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana ?
Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini ? Mzazi kutojitambua ama nini ? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae ? Au tatizo ni mtoto mwenyewe ?View attachment 3016950
Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha ?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana ?
Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini ? Mzazi kutojitambua ama nini ? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae ? Au tatizo ni mtoto mwenyewe ?View attachment 3016950
Mbona kama unanisema mimi🙄Namfahamu m1, yeye alisoma kuanzia primary had Sec (O & A) shule ya kulipia, chuo akaenda SUA.
ila mzazi wake alimpa mtaji, akafungua biashara ya uwakala wa miamala ya pesa, kaendesha hovyoo imekata.
Sahivi yupo tyuu, kula kulala, kutwaaa kuzurura mtaani.
Mpe connectionNamfahamu m1, yeye alisoma kuanzia primary had Sec (O & A) shule ya kulipia, chuo akaenda SUA.
ila mzazi wake alimpa mtaji, akafungua biashara ya uwakala wa miamala ya pesa, kaendesha hovyoo imekata.
Sahivi yupo tyuu, kula kulala, kutwaaa kuzurura mtaani.
Maisha hayana formula!!Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha ?