Unaishi dunia gan mkuu.Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha?
Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana?
Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au tatizo ni mtoto mwenyewe?View attachment 3016950
Wengi tu hawanaHakuna, wote wana ajira.
Wewe huyo🤣Umeamua kuja kunisema sawa haya Bana na kusoma kote IST nimekua dalali
Private ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?Wengi tu hawana
Mleta mada anasemea private za kawaida.Private ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?
Sasa wewe umesoma shule ya private ya kihuni, ada milioni 2 kwa mwaka, unaita private? Wazazi wanaolipia hiyo ada wengi choka mbaya, hivyo hawana connection kwa watoto wao.
tunaongelea private achana na international schoolsPrivate ipi? Kuna private na private. Mtu asome IST ama Feza halafu akose kazi? Hivi unajua connection ya kazi inaanzia darasani kwako? Unasoma na akina nani? Wazazi wao wana kazi gani?
Sasa wewe umesoma shule ya private ya kihuni, ada milioni 2 kwa mwaka, unaita private? Wazazi wanaolipia hiyo ada wengi choka mbaya, hivyo hawana connection kwa watoto wao.
Private za milioni 1 au 2 kwa mwaka siyo private hizo. Wanaosoma humo wametoka familia za polisi, madaktari, walimu, wavuvi na wakulima. Watakupa connection gani hawa?Mleta mada anasemea private za kawaida.
Ndiyo maana nikataja Feza: Feza Boys na Feza Girls ni tofauti na Feza international. Hizo ni private lkn hela yake huwezi kukuta choka mbaya wanasomesha hapo.tunaongelea private achana na international schools
choka mbaya ni lugha kashfu, ila wasio na uwezo wengi tuu wanasoma hizo shule, wao wenyewe wanatafuta watu waliofanya vizuri shule za kawaida wanaenda kuwasomesha bure.Ndiyo maana nikataja Feza: Feza Boys na Feza Girls ni tofauti na Feza international. Hizo ni private lkn hela yake huwezi kukuta choka mbaya wanasomesha hapo.
Ndiyo maana nikataja Feza: Feza Boys na Feza Girls ni tofauti na Feza international. Hizo ni private lkn hela yake huwezi kukuta choka mbaya wanasomesha hapo.
Sawa mkuu nimekuelewa. Ila ngoja tumjadili huyu wa njiapanda. Unamuona yuko sawa kiakili? Kwasabb hata mwanaye tu alimshauri kuwa ni bora akasone shule za kawaida ili kupunguza kero ya ada, lkn hakusikia.yule aliyekuwa anaomba msaada wa nauli kwenye Njiapanda ya Clouds juzi jumapili amesoma international school moshi.
Udadali ni resilience way kwa job seeker. Unkaa kijiweni unavizia mtu anahitaji chumba umpeleke. Jobless ni fact kwa unemployed.. yani mtu ana skills lakin skill zake hajitumii yani kakosa nafasi.kwani UDALALI sio kazi?
Civil engineer kuwa dalali unamtoa kwenye jobless. Ina mana udalali ndio specialisation yake?Sasa yeye si dalali "Jobless" inatoka wapi sasa. Yeye hana ajira ila kazi anayo ambayo ni "udalali".
Udalali ni kazi na vipo vyuo vinatoa kozi hizo "Real estates brokerage".
Yeye akomae na udalali tuu.
Sijakuelewa, wa njiapanda ni kijana mdogo sana anasema alisema amezaliwa 2004 kama sio 2006 hivi,Sawa mkuu nimekuelewa. Ila ngoja tumjadili huyu wa njiapanda. Unamuona yuko sawa kiakili? Kwasabb hata mwanaye tu alimshauri kuwa ni bora akasone shule za kawaida ili kupunguza kero ya ada, lkn hakusikia.