Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Wewe baada ya kufika pengine na kuishi imetuzidi nini sisi ambao hatujafika na tunaishi Tandahimba na Simiyu?

Wewe umewahi kufika kwetu?

Utoto
Muulize kashawahi fika Gambosi au Lagangabilili au kule Ikungulyabashasi au anapasikia Nkololo?
 
Natokea kijiji cha katombasongwe huku narudi zangu daslamu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸƒπŸΎβ€β™€οΈπŸƒπŸΎβ€β™€οΈ Asante
 
Nimewaza tuu eti Kuna watu mpo humu mnaisikia Dar redioni tuu?

How come? Yani una miaka 30 plus dar hujawahi kufika??
Dar ni nini? Yaani kufika Dar unaona umemaliza!!!! πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Kufika kwenyewe Dar umefika baada ya dada yako kumbembeleza shemeji yako ili angalau uende ukasafishe macho. Halafu unaona uko juu🀣🀣🀣
Watu bwana, mkishashiba kiporo kwa shemeji zenu mnapoteza akili.
 
Wakishua ukimwambia Dsm michesho atashangaa Sana.

Dsm ukiwa na Pesa ni Pepo ndogo, ukiwa Huna NI kuzimu.

Mimi bado naparangana
Wanaofurahia hilo jiji ni wachache mno tena wale wanaotembeaga na ving'ora, wafanyabiashara wakubwa,, tuliobaki kero zipo palepale,

Foleni, msongamano, harufu, joto, gharama kubwa za maisha ya kila siku, huduma mbovu za kijamii, isipokugusa kero 1 au 2 kati ya hizo basi utaenjoy sasa kuna wale hizo kero zote zinatuhusu na tuko wengi
 
Dah huitaji visa wala passport wala laki tano,kama hujafika Dar wewe ni mtu wa kustaajabisha sana
 
Sio kweli,ukifeli juenjoy maisha Dar ujue hujatumia brain yako vizuri,sina hela nyingi kihivyo ila kwa Tanzania Dar ni the best to live ni peponi kabisa kwangu
 
Sio kweli,ukifeli juenjoy maisha Dar ujue hujatumia brain yako vizuri,sina hela nyingi kihivyo ila kwa Tanzania Dar ni the best to live ni peponi kabisa kwangu
Upo kwenye list ya wale wenye ving'ora hongeraπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…