Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Bora wasije hawana maana yoyoteNi matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundo mbinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu ktk halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??