Hilo halinaga akiliMmmmhh... Ushirikina na majungu tena???
Unalinganisha hiyo hatari unayoisema na wapi? Usiende mbali sana, hivi hapa jijini DSM, mvua ikinyesha milima ya Pugu, wakazi wa Ulongoni wanavukaje mto Msimbazi kutoka Gongo la Mboto Kama sio kubaki kisiwani? Acha kujifanya mjuaji kwenye mikoa ya watu. Hivi umewahi kutoka Mbweni kwenda Kiembeni wakati wa mvua? unavukaje mto Mpiji? Watu wanakuwa kisiwani na mitumbi inahusika wakati rasilimali nyingi za nchi zinabakizwa DSM, halafu unaleta ujuaji kwa wilaya za watu wanaojielewa?Hatari sana ,mpeleke wilaya ya Ikungi vijiji kama Mwaru,Mwasenge,Kaugeli etc mahali ambapo mvua ikinyesha kijiji kinakuwa misiwa ,wanafunzi wa upande wa pili wanakuwa likizo
Unaleta habari za kuhadithiwa hapa jamvini, unaonekana hata geography yako ni ndogo sana. Ngoja nikueleza kuwa Wilaya ya Singida Vijijini imepitiwa na barabara za lami za kuelekea mikoa ifuatayoLabda huijui singida vijijini wewe
Njoo NgorongopaMkuu kuhusu wilaya ya liwale kutokutembelewa na top officials Hilo nalikubali ,ni muda sasa Niko huku lakini sijawahi kuona hata waziri wa maji kaja kuitembelea wilaya yetu,so sad[emoji26][emoji26]
Lakini kuhusu viongozi wa wilaya kufanya maamuzi mabaya au kufanya ulegevu eti kisa tu hakuna top government official atawatembelea Hilo sikubaliani nalo,wilaya yangu inachapa kazi kwelikweli,nakumbuka enzi za kina Justine Monko akiwa mkurugenzi wangu,jamaa alikuwa anajituma Sana,na Hadi Leo hii viongozi wangu wanajituma Sana tu.
Now ni town,pia makete.Ludewa!
Nyie mna waziri mkuchikaMkuu hamko peke yenu, hata sisi huku Nkotokwiana wilaya ya Newala hatuwaoni hao wakubwa unaowasema.
Vipi kamanda Mbowe hata yeye hajaja huko kuitisha maandamano ya katiba?
Msalimie chief internal auditor nimemleta hapo toka TAWAMkuu kuhusu wilaya ya liwale kutokutembelewa na top officials Hilo nalikubali ,ni muda sasa Niko huku lakini sijawahi kuona hata waziri wa maji kaja kuitembelea wilaya yetu,so sad[emoji26][emoji26]
Lakini kuhusu viongozi wa wilaya kufanya maamuzi mabaya au kufanya ulegevu eti kisa tu hakuna top government official atawatembelea Hilo sikubaliani nalo,wilaya yangu inachapa kazi kwelikweli,nakumbuka enzi za kina Justine Monko akiwa mkurugenzi wangu,jamaa alikuwa anajituma Sana,na Hadi Leo hii viongozi wangu wanajituma Sana tu.
LiwaleWilaya gani hiyo?
Duh,sidhani Kama naweza mpata kwa urahisi,Niko huku mpigamiti shule ya msingi,nitajaribu kukuona siku nilipata chance ya kwenda mjiniMsalimie chief internal auditor nimemleta hapo toka TAWA
Tanzania ni kubwa kuliko USA ?Ila kuingoza nchi kubwa kama hii ni kibarua kikubwa sana..! Sio kazi ya kitoto...!!
Toka mwenye Wilaya Afe Mzee KAWAWA imetelekezwa Sijui hata kama ina DC AU DED[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni matumaini yangu mu wazima..!?
Hizi wilaya zetu pamoja na changamoto za miundombinu ya barabara kuna ulazima wa viongozi wa kitaifa kufanya ziara ikiwezekana mara baada ya mara. Lakini hali ikiwa hivi kama ilivyo huko wilayani Liwale inaleta shida katika utendaji wa baadhi ya watumishi wa ngazi za juu katika halmashauri. Hufanya kazi kiholela kwa kujua viongozi hawawezi fika huko...!
Jambo hili ni huko Liwale tu au kuna wilaya zingine zina changamoto hii??