Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Mkuu nipo hapa ngunichile karibu sana ila huku kusini wamekalia uvivu na uchawi tu
 
Ahaaa Mambo ya NGENDE???😃😃😃🤣🤣🤣 KWA NGENDE SIYO??

TUKO PAMOJA NDUGU Dustbin AKA MGOTI MZEE WA RED CARD!🤣🤣🤣😃😃😃
Hhahahhhaa hiyo a.k.a umeitoa wapi we jamaa?? Hhahaha
 
Mkuu em usikurupuke elewa kwanza mwandishi kaandika nini na ww umejibu nini?

Ukiachana na barabara ulizozitaja mwandishi wa Uzi kalenga hasa Ziara ya viongozi wakuu wa nchi kutotembelea baadhi ya wilaya..

Sjawahi kusikia ata enzi za JPM au kiongozi mkubwa yeyote afunge safari aende maeneo kama Ilongero, mtinko, sepuka, mkenge, ikiwu, ughandi, minyenye, ikhanoda, kisisi, mwakiti, mdida, msange, etc watu wa maeneo haya wanaishi kama wapo kwenye Dunia yao maji shida, umeme shida, barabara shida kidgo mtinko na ilongero kuna umeme ila maji kipindi cha kiangazi ni shida Leo ww unakuja kuzungumzia barabara za kuunganisha mikoa.

Barabara nyingi zinazounganisha mikoa ni za lami karibu Tanzania nzima. Wew unaejifanya unaijua geography umeshindwa hadi kujua kuwa barabara ya SINGIDA_DoDOMA haipo kwenye wilaya ya singida vijijini ipo wilaya ya manyoni?

Mm naongea kwa experience mkuu mana huo mkoa nimeutembea sana
Ina maana huu mradi wa REA huko haujafika kabisa?? Sasa mbunge wa huko anafanya nini bungeni? Au huu mradi ni kwa ajili ya baadhi ya vijiji tu. Kwa kiasi kikubwa vijiji vya Tanzania vina umeme, ninashangaa umeorodhesha vijiji vingi hapo alafu ni vya eneo moja halafu havina umeme au vipo mbali na barabara kuu??
 
Kumbe ni wapinzani peke yao ndo watakaipigia kura hiyo katiba? Basi sawa
Nimekuuliza hilo swali kwa sababu umesema hata Mbowe hajafika huko, ndio nkakuuliza kuna tawi huko? Maana kama hamna tawi la chama chake anafika kufanya nini? Atafikia kwa nanai?
 
Mpaka sasa tumepata wilaya zifuatazo ambazo viongozi wa kitaifa kutembelea huko ni nadra sana;-
Liwale
Ludewa
Rorya
Ukerewe
Newala

Kama kuna niliyoisahau ktk zilizotajwa nikumbushwe..!!
Kibondo
Kwimba
 
Ina maana huu mradi wa REA huko haujafika kabisa?? Sasa mbunge wa huko anafanya nini bungeni? Au huu mradi ni kwa ajili ya baadhi ya vijiji tu. Kwa kiasi kikubwa vijiji vya Tanzania vina umeme, ninashangaa umeorodhesha vijiji vingi hapo alafu ni vya eneo moja halafu havina umeme au vipo mbali na barabara kuu??
Haujafika ndugu huu mradi nuonaga mikoa mingine tu
 
Niambie Ni mwaka gani liwale ilipata hati chafu toka toka kwa CAG

Mimi ni mwalimu huku mpigamiti,so sio kwamba nawatetea viongonzi wangu
Liwale huwa inapata hati yenye mashaka miaka ya hv karibuni walifanyiwa ukaguzi maalum nako ni madudu tu
 
Wana Liwale mna wajibu wa kwanza wa kuitengeneza Liwale yenu, kabla ya mtu mwingine yoyote yule.
Kwa sasa najiuliza Liwale ndio wapi? Ntu wa dili anakotoka?
 
Potential kwa namna gani?

#MaendeleoHayanaChama
Kwanza ni wilaya yenye ardhi ya rutuba kuliko wilaya zote za mkoa wa ukiondoa Kilwa.

Pili ni wilaya inapakana na mbuga ya Selous na mkoa wa Ruvuma
 
Kwanza ni wilaya yenye ardhi ya rutuba kuliko wilaya zote za mkoa wa ukiondoa Kilwa.

Pili ni wilaya inapakana na mbuga ya Selous na mkoa wa Ruvuma
Kuna biashara gani huko ukiondoa mazao?.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom