Mkuu kuhusu wilaya ya liwale kutokutembelewa na top officials Hilo nalikubali ,ni muda sasa Niko huku lakini sijawahi kuona hata waziri wa maji kaja kuitembelea wilaya yetu,so sad[emoji26][emoji26]
Lakini kuhusu viongozi wa wilaya kufanya maamuzi mabaya au kufanya ulegevu eti kisa tu hakuna top government official atawatembelea Hilo sikubaliani nalo,wilaya yangu inachapa kazi kwelikweli,nakumbuka enzi za kina Justine Monko akiwa mkurugenzi wangu,jamaa alikuwa anajituma Sana,na Hadi Leo hii viongozi wangu wanajituma Sana tu.