Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Bora wasije hawana maana yoyote
 
hatari sn
 
Mkuu hamko peke yenu, hata sisi huku Nkotokwiana wilaya ya Newala hatuwaoni hao wakubwa unaowasema.
Vipi kamanda Mbowe hata yeye hajaja huko kuitisha maandamano ya katiba?
 
Unamaanisha kule jamaa alijikuta yey na vieite lake wamefunikwa na moshi???
 
Labda huijui singida vijijini wewe
Hatari sana ,mpeleke wilaya ya Ikungi vijiji kama Mwaru,Mwasenge,Kaugeli etc mahali ambapo mvua ikinyesha kijiji kinakuwa misiwa ,wanafunzi wa upande wa pili wanakuwa likizo
 
Ludewa
 
Mkuu hamko peke yenu, hata sisi huku Nkotokwiana wilaya ya Newala hatuwaoni hao wakubwa unaowasema.
Vipi kamanda Mbowe hata yeye hajaja huko kuitisha maandamano ya katiba?
Kwani huko mna matawi ya wapinzani??
 
Hatari sana ,mpeleke wilaya ya Ikungi vijiji kama Mwaru,Mwasenge,Kaugeli etc mahali ambapo mvua ikinyesha kijiji kinakuwa misiwa ,wanafunzi wa upande wa pili wanakuwa likizo
Singida si ndio kwa waziri wa mambo ya fwedhwa??
 
Singida si ndio kwa waziri wa mambo ya fwedhwa??
Wengine wanakuaga si wakaz wa huko ukifika muda wa vikao vya chama ndio wanaenda na ndio maana wengi wao wanakuaga hawana uchungu napo wanapachukulia km kazin tu
 
Mpaka sasa tumepata wilaya zifuatazo ambazo viongozi wa kitaifa kutembelea huko ni nadra sana;-
Liwale
Ludewa
Rorya
Ukerewe
Newala

Kama kuna niliyoisahau ktk zilizotajwa nikumbushwe..!!
 
Wakiacha Ushirikina na Majungu watatembelewa kila Siku tu na Maendeleo watayapata kwa haraka.
Wewe kichwa chako hakinaga akili, sasa ushirikina umekujaje hapa, kweli wewe una mavi kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…