Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Hivi kutakuja kutokea wasanii kama Angela Chibalonza na Fanuel Sedekia?

Rose muhando ni funga kazi ya hao wote naombeni namba ya christina shusho huyo mama mzuri sana .bukuku cheusi dawa aliyejichubua asalaam sleykhum.ambwene mwasonge baba lao
 
Mtazamo wako kuwa hao ndio wakali usiuchukulie kuwa ni hivyo kwa kila mtu bosi!!
 
Angela Chibalonza niMkongo alieishi na kufia Kenya.
Emachichi ni Mkongo alieishi na kufia Kenya,.
Emmanuel Ushindi ni Mkongo anayeishi Kenya.
Nadhani Christina Shusho naye ana asili ya Kongo, pia Bahati Bukuku(Bouchouchou) nadhani(sina uhakika).
 
Naomba kujua kama chibalonza aiiacha watoto au mume

Walikuwa RAIA wa nchi gani naskia Congo ,wengine wanasema ni mrundi
Huyu Ni mkongo aliishi kenya.mumewe Ni Elisha muliri na walikuwa na WATOTO.
Huyu Elisha muliri Ni nabii wa ajabu ajabu, ana makandokando ya kumwaga, ana kanisa kinondoni na Moshi. Kanisa lake linaitwa Ebenezer, ana kipindi sibuka fm. Ila be extra carefully na huyu nabii
 
Mumewe alikuwa alikuwa Elisha muliri, nabii kanjanja ana kanisa kinondoni na moshi.kuna siku ntaanzisha Uzi wa huyu jamaa
 
Angela nilikuwa namkubali sana ila sijui gospel nyingi so siwezi sema ndio mkali kuliko wote..pia namkubali sana Christina shusho na yule wa kenya, alieimba 'siwezi jizuia' nimemsahau jina..
 
NDIO MKUU KUNA NABII NA ZAMA ZAKE NI SUALA LA MUDA TU WATATOKEA WASANII WAKALI ZAIDI YA HAO
ILA KWA UPANDE WANGU NAMKUBALI SANA CHRISTINA SHUSHO ZAIDI YA CHIBALONZA
Mimi Ambwene Mwasongwe napenda sana utunzi na uimbaji wake, namkubali Sara K, na naukubali sana wimbo wa Goodluck wa - Nipe kukumbuka wema wako. Ni wimbo ambao nausikilizaga karibu kila siku toka umetoka
 
Mbona unawaoverrate sana au kwavile wamekufa, mbona wapo wengi wa kuwazidi
 
Kwa upande wangu mimi kwenye gospo hawa ndo nimetokea kuzikubali nyimbo zao nyingi;

Mwanamme: Ambwene Mwasongwe
Mwanamke: Christina Shusho

NB: Nawapenda wengine kama Bahati Bukuku, Beatrice Muhone(Sijui kwanini aliacha)
 
Huyu Ni mkongo aliishi kenya.mumewe Ni Elisha muliri na walikuwa na WATOTO.
Huyu Elisha muliri Ni nabii wa ajabu ajabu, ana makandokando ya kumwaga, ana kanisa kinondoni na Moshi. Kanisa lake linaitwa Ebenezer, ana kipindi sibuka fm. Ila be extra carefully na huyu nabii
kwahiyo mama akaolewa na tapeli aka nabii?
 
Wamewahi kukubalika kuliko Rose Muhando? Shusho? Bukuku?
walikubalika hata kabla ya rose muhando kwa taarifa yako...
rose si ni juzi tu 2000s hapo

nadhani umeona mwenyewe asilimia kubwa hapa wamekubali
 
Back
Top Bottom