Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

Hivi kutokupenda habari kuhusu Mungu ni aina gani ya tatizo?

Wakuu habari zenu?

Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadha
Ni kwa sababu hujawahi kukutana na habari sahihi za Mungu.
Umekuwa ukikutana na mafundisho tuu ya madhehebu
 
Ni kuwaza kwa kina kuhusu vitabu vya dini.... Ila pamoja na hayo, mwenye hekima hata akiwaza kwa kina hawezi kitoka na jibu la moja kwa moja kwamba hakuna Mungu na miungu
 
Kama umesha tambua kua kutokupenda habari za Mungu ni tatizo,japo bado hujajua tu ni aina gani ya tatizo,
Basi hiyo ni dalili kua umeshajitambua tayari kua una tatizo,

So,wewe tukikuwahi unaweza kupona.
 
Upumbumbvu,wabumbavu huwaza moyonj mwao kuwa hakuna Mungu ,zaburi 14:1
 
Mungu gani unayemzungumziaa.

Ashera.
Eli.
Elishadai.
YHWH.
Baal.
Zeus.
Etc.
Umajumui uliokomaa ndio Uliotengeneza/unda Misingi ya Mungu & Miungu ya Homosapiens.

Umajumui ni nini,? Homework hiyo.(Google &Ai).
 
Wakuu habari zenu?

Naomba mwenye msaada wa kimawazo tafadhali.
Mungu ni pendo, anapenda watu wote na tena hapendi mtu yeyote apotee.

Karibu Infinity Glory Church Mbuyuni Dar es Salaam tujifunze juu ya upendo wa Mungu kwa wanadamu.
 
PEPO HILO.wakati mwenzako nikisikia majina yake moyo unatulia
 
Back
Top Bottom