Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Vigezo lazima viendane na uhalisia, halafu wanawake wasio bikira kinachowashusha hadhi wala siyo wao kutokuwa bikira, bali ni hizo gender stereotypes za wanaume ndio maana tunasema kabla hawajawasema wahakikishe nao ni mabikira
Sasa mkuu utampangiaje vigezo mtu, mbona una double standards??
Kwani wanawake si ndo ninyi hamtaki kuchaguliwa mume?? Sasa kwann utake kumchagulia mwanaume mke wa kumuoa na vigezo atakavyo.

Kama bikra kwa utashi wake kaamua kumkubali asie bikra na aolewe, wewe unaetaka mume bikra ni ruksa pia kuolewa nae na kumkataa mwanaume asie bikra.
 
Hatuwapangii watu vigezo ila kuna vigezo mtu ukiviweka watu wataishia kukuona mwendawazimu, hata wanawake wenyewe kuna vigezo vyao wakiviweka huwa mnawaambia hawawezi kupata wanaume wa aina hiyo, ndio maana nasema vigezo lazima viendane na uhalisia na hoja yangu ni kwamba unapoweka kigezo cha bikira basi huna haki ya kuwatukana wasio bikira
 
Kuna jamaa hapa pembeni yangu akaniambia NI KAMA BAISKELI UKIJUA UMEJUA..
 
MUNGU anakuepusha na uovu we unasema unamatatizo, kukosa Amani wakati unataka kufanya jambo au kitu fulani hiyo ni ishara kwamba hicho kitu kinakinzana na hatima yako

Tulia achana na huo uchafu pata mwenza wa kueleweka wa MAISHA funga NDOA ufanye hilo Tendo NDANI ya utaratibu ambao MUNGU
 
Huna haki ya kumtukana yeyote sio asie na bikra pekee mkuu.
 
Issue ya kawaida hyo,huwakumba watu wengi sana,so relax ni issue ya kucheza na saikolojia yako tu kwa namna mbali mbali kama tizi,kujiamini etc.relax and enjoy life.
Kumbe Sawa mkuu ......... mbali na tizi unajua mbinu gani ingine ya kucheza na saikolojia ili nijiamini vizuri mkuu
 
Kuwa single mda mrefu kwa mwanamme misuli ya 🌽 ina zidi kuwa imara na kuimarika
 
Issue ya kawaida hyo,huwakumba watu wengi sana,so relax ni issue ya kucheza na saikolojia yako tu kwa namna mbali mbali kama tizi,kujiamini etc.relax and enjoy life.
Kumbe Sawa mkuu ......... mbali na tizi unajua mbinu gani ingine ya kucheza na saikolojia ili nijiamini vizuri
Hunaweza kuogopa kufanya mapenz kama huyu mtu humwamin pia ngono zembe magonjwa ya zinaa, huna hisianae
Hakuvutii kimapenz,
Upo sahihi mkuu.... Lakini kwa upande wangu Sio kwa sababu hizo ni kwa sababu nimekula kwa macho miaka mingi so imeniathiri kisaikolojia
 
Kumbe Sawa mkuu ......... mbali na tizi unajua mbinu gani ingine ya kucheza na saikolojia ili nijiamini vizuri

Upo sahihi mkuu.... Lakini kwa upande wangu Sio kwa sababu hizo ni kwa sababu nimekula kwa macho miaka mingi so imeniathiri kisaikolojia
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…