Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU

Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo nilizidiwa kete na walionipita ujanja kwaio napo sikuwahi kuwa na mpenzi Hadi namaliza . na baada ya hapo nikaingia zangu kitaa na kupata kazi ya kusafiri mikoani mara kwa mara hivyo ilikuwa ngumu kwangu ku-settle sehemu Moja na kuyajenga mahusiono vizuri .

Sasa mwaka Jana nilmpata mwanamke aliyenikubalia kunipa tunda ... kwa mara ya kwanza ..mazee sikuamini ilibidi iyo siku nitafute kisingizio nisiende job niwe geto ili nichakate mbususu na kweli yule manzi akaja na nilkuwa nampenda kupita kiasi sasa Cha kushangaza tulipoanza TU mambo hali yangu ilibadilika na kujikuta naogopa sana na moyo kwenda mbio. Nilijaribu kila namna niamshe dushe ila wapi Hadi huyo demu naye akawa anajaribu kuliamsha dushe ili anivishe condom ila wapi ... daah manzi alinidharau sana na alikasirika kwa muda mrefu Hadi tukaachana.

Daah nilibaki na STRESS sana na kujilaumu .. kwa kushindwa kula kitu ambacho sijala lifetime . nikikumbukag huwa Hadi najikuta nawaogopa Hawa wanawake maana sio kwa Ile temper na Hofu iliyonikamata Ile siku

Mwaka huu Tena nimempata manzi mwingine lakini Hali inajirudia vilevile kama mwanzon na mda wowote naye ataniacha.

Sijajua tatizo Nini au labda mwenzenu nimechelewa kuyajua mapenzi Hadi yanitese hivi .

Wadau kwa mwenye ushauri makini utakaonisaidia naomba anishauri niweze kui-master ngono vizuri kwani ninakonda na DEPRESION ..........#@nawasilisha
Ni woga tu mwanangu hakuna kingine. Kuchakata kunahitaji mazoezi pia. Tena kama dem unampenda hio ndio mbaya zaidi maana unaweza kuwa na kitu inaitwa kupania, hio imefelisha wengi. Ushauri wa kijinga. Siku ukiwa na game, nunua malaya mchakate kisha kaa kama siku 4- wiki, kachakate mbususu unayoipenda, hii husaidia kuziea mazingira ya mbususu. (Angalizo “nunua malaya at your own risk”)

Mali zipo dom wakuu
 
Attachments

  • IMG_6628.jpeg
    IMG_6628.jpeg
    1.2 MB · Views: 2
  • IMG_6627.jpeg
    IMG_6627.jpeg
    1.6 MB · Views: 2
  • IMG_6629.jpeg
    IMG_6629.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
  • IMG_6551.jpeg
    IMG_6551.jpeg
    1,015.9 KB · Views: 2
Ni woga tu mwanangu hakuna kingine. Kuchakata kunahitaji mazoezi pia. Tena kama dem unampenda hio ndio mbaya zaidi maana unaweza kuwa na kitu inaitwa kupania, hio imefelisha wengi. Ushauri wa kijinga. Siku ukiwa na game, nunua malaya mchakate kisha kaa kama siku 4- wiki, kachakate mbususu unayoipenda, hii husaidia kuziea mazingira ya mbususu. (Angalizo “nunua malaya at your own risk”)

Mali zipo dom wakuu
Weka bei
 
Wenzio wanakuwa na kihoro hadi wanakojoa nje hii yako naona inahitaji psychotherapists. Halafu tafuta size zako na ujenge strong romance relationship kabla ya kuwala
 
Ni woga tu mwanangu hakuna kingine. Kuchakata kunahitaji mazoezi pia. Tena kama dem unampenda hio ndio mbaya zaidi maana unaweza kuwa na kitu inaitwa kupania, hio imefelisha wengi. Ushauri wa kijinga. Siku ukiwa na game, nunua malaya mchakate kisha kaa kama siku 4- wiki, kachakate mbususu unayoipenda, hii husaidia kuziea mazingira ya mbususu. (Angalizo “nunua malaya at your own risk”)

Mali zipo dom wakuu
Poa mkuu nitajaribu kucheki wale dada zetu wale
 
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU

Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo nilizidiwa kete na walionipita ujanja kwaio napo sikuwahi kuwa na mpenzi Hadi namaliza . na baada ya hapo nikaingia zangu kitaa na kupata kazi ya kusafiri mikoani mara kwa mara hivyo ilikuwa ngumu kwangu ku-settle sehemu Moja na kuyajenga mahusiono vizuri .

Sasa mwaka Jana nilmpata mwanamke aliyenikubalia kunipa tunda ... kwa mara ya kwanza ..mazee sikuamini ilibidi iyo siku nitafute kisingizio nisiende job niwe geto ili nichakate mbususu na kweli yule manzi akaja na nilkuwa nampenda kupita kiasi sasa Cha kushangaza tulipoanza TU mambo hali yangu ilibadilika na kujikuta naogopa sana na moyo kwenda mbio. Nilijaribu kila namna niamshe dushe ila wapi Hadi huyo demu naye akawa anajaribu kuliamsha dushe ili anivishe condom ila wapi ... daah manzi alinidharau sana na alikasirika kwa muda mrefu Hadi tukaachana.

Daah nilibaki na STRESS sana na kujilaumu .. kwa kushindwa kula kitu ambacho sijala lifetime . nikikumbukag huwa Hadi najikuta nawaogopa Hawa wanawake maana sio kwa Ile temper na Hofu iliyonikamata Ile siku

Mwaka huu Tena nimempata manzi mwingine lakini Hali inajirudia vilevile kama mwanzon na mda wowote naye ataniacha.

Sijajua tatizo Nini au labda mwenzenu nimechelewa kuyajua mapenzi Hadi yanitese hivi .

Wadau kwa mwenye ushauri makini utakaonisaidia naomba anishauri niweze kui-master ngono vizuri kwani ninakonda na DEPRESION ..........#@nawasilisha
Nitafute Dm, nko serious.
 
Back
Top Bottom