Mtoboa siri
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 214
- 804
Pole sana, tatizo lako ni la Kisaikolojia na hatua uliofikia ni ngumu maana ukipata mwanamke yeyote ukienda nae mawazo yako yanakupeleka kwenye kushindwa zaidi kuliko kuweza na matokeo yake kushindwa ku-perform.
Ushauri wangu;
Unapoenda na mwanamke kwa mara ya kwanza tumia Viagra meza saa moja kabla ya tendo(angalizo, tumia siku ya kwanza tu kwa ajili ya kutoa wasiwasi na si vinginevyo na hakikisha presure yako ni 120/80 kabla ya kutumia dawa hii)