Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU

Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo nilizidiwa kete na walionipita ujanja kwaio napo sikuwahi kuwa na mpenzi Hadi namaliza . na baada ya hapo nikaingia zangu kitaa na kupata kazi ya kusafiri mikoani mara kwa mara hivyo ilikuwa ngumu kwangu ku-settle sehemu Moja na kuyajenga mahusiono vizuri .

Sasa mwaka Jana nilmpata mwanamke aliyenikubalia kunipa tunda ... kwa mara ya kwanza ..mazee sikuamini ilibidi iyo siku nitafute kisingizio nisiende job niwe geto ili nichakate mbususu na kweli yule manzi akaja na nilkuwa nampenda kupita kiasi sasa Cha kushangaza tulipoanza TU mambo hali yangu ilibadilika na kujikuta naogopa sana na moyo kwenda mbio. Nilijaribu kila namna niamshe dushe ila wapi Hadi huyo demu naye akawa anajaribu kuliamsha dushe ili anivishe condom ila wapi ... daah manzi alinidharau sana na alikasirika kwa muda mrefu Hadi tukaachana.

Daah nilibaki na STRESS sana na kujilaumu .. kwa kushindwa kula kitu ambacho sijala lifetime . nikikumbukag huwa Hadi najikuta nawaogopa Hawa wanawake maana sio kwa Ile temper na Hofu iliyonikamata Ile siku

Mwaka huu Tena nimempata manzi mwingine lakini Hali inajirudia vilevile kama mwanzon na mda wowote naye ataniacha.

Sijajua tatizo Nini au labda mwenzenu nimechelewa kuyajua mapenzi Hadi yanitese hivi .

Wadau kwa mwenye ushauri makini utakaonisaidia naomba anishauri niweze kui-master ngono vizuri kwani ninakonda na DEPRESION ..........#@nawasilisha
Niseme tu uko sawa na zaidi ya sawa hayo mengine ni ya kawaida. Go on boy !!
 
Pole sana, tatizo lako ni la Kisaikolojia na hatua uliofikia ni ngumu maana ukipata mwanamke yeyote ukienda nae mawazo yako yanakupeleka kwenye kushindwa zaidi kuliko kuweza na matokeo yake kushindwa ku-perform.
Ushauri wangu;
Unapoenda na mwanamke kwa mara ya kwanza tumia Viagra meza saa moja kabla ya tendo(angalizo, tumia siku ya kwanza tu kwa ajili ya kutoa wasiwasi na si vinginevyo na hakikisha presure yako ni 120/80 kabla ya kutumia dawa hii)
Mkuu hio pressure hapo uliotaja ni ideal, sio rahisi kuwa na hio pressure , mara nyingi utakuta ni 123/68 au 123/82
 
Joh miaka yote hiyo hujawahi kupiga mbunye?? Hujawah kua na genye au niaje??

Mwenzio Poor Brain kashakula mbunye zaidi ya 150, hao ni agemate na waliochini yake, hujahesahia mishangazi isiyo na ifadi kamili (haya ni maelezo yake yeye mwenyewe).
😃😃😃😃🙌🙌🙌🙌 Mkuu sio poa an aiseee
 
Ndio maana nimekuambia utumie mara moja tu, inasaidia ku-bust mzunguko wa damu kwenda kwenye uume kwa hiyo hata kama kisaikolojia haupo sawa utagonga tu.
Ikishindika mbinu zote hizo mkuu utalazimika kumfuata dada poa ambae ni very professional na very humble umwambie akufanyie romance sana kabla ya tendo mfano body to body massage na kuliwa koni. Ukishindwa hapo wewe labda utakuwa sio ridhiki.
Ukiwa tayari kwa jambo hilo njoo PM yupo dada yupo vizuri mbobezi nitaakunganisha nae kukusaidia mwanaume mwenzangu.
Daah hatari sana kweli lazima tulinde brand yetu ya kiume.
 
Huna nguvu za kiume taja mkoa wako na namba yako ya simu nikuunganishe kwa mganga akutibu, malipo ni laki tano ukishapona.
 
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU

Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo nilizidiwa kete na walionipita ujanja kwaio napo sikuwahi kuwa na mpenzi Hadi namaliza . na baada ya hapo nikaingia zangu kitaa na kupata kazi ya kusafiri mikoani mara kwa mara hivyo ilikuwa ngumu kwangu ku-settle sehemu Moja na kuyajenga mahusiono vizuri .

Sasa mwaka Jana nilmpata mwanamke aliyenikubalia kunipa tunda ... kwa mara ya kwanza ..mazee sikuamini ilibidi iyo siku nitafute kisingizio nisiende job niwe geto ili nichakate mbususu na kweli yule manzi akaja na nilkuwa nampenda kupita kiasi sasa Cha kushangaza tulipoanza TU mambo hali yangu ilibadilika na kujikuta naogopa sana na moyo kwenda mbio. Nilijaribu kila namna niamshe dushe ila wapi Hadi huyo demu naye akawa anajaribu kuliamsha dushe ili anivishe condom ila wapi ... daah manzi alinidharau sana na alikasirika kwa muda mrefu Hadi tukaachana.

Daah nilibaki na STRESS sana na kujilaumu .. kwa kushindwa kula kitu ambacho sijala lifetime . nikikumbukag huwa Hadi najikuta nawaogopa Hawa wanawake maana sio kwa Ile temper na Hofu iliyonikamata Ile siku

Mwaka huu Tena nimempata manzi mwingine lakini Hali inajirudia vilevile kama mwanzon na mda wowote naye ataniacha.

Sijajua tatizo Nini au labda mwenzenu nimechelewa kuyajua mapenzi Hadi yanitese hivi .

Wadau kwa mwenye ushauri makini utakaonisaidia naomba anishauri niweze kui-master ngono vizuri kwani ninakonda na DEPRESION ..........#@nawasilisha
ondoa wasiwasi
 
bossi,tatizo ni hofu ila mbona mimi nilikuwa kama wewe lakini nilikuwa nasimamisha fresh tu,tena naenda hata mara 3 isipokuwa la kwanza ndo linawahi.

Au puchu imekuathiri??

Fanya mazoezi kama umeathirika na puchu,tumia asali,mdalasini na karafuuu.

leta mrejesho.
Asante mkuu .. na iyo asali , mdalasini na karafuu nazichanganya au nazifanyaje ?
 
Back
Top Bottom