Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Yeah lazima tuje tutengeneze surname zetu ziwe kubwa kubwa😊😊
Hilo ni muhimu, haiwezekani toka tuna kua ni kampuni za waarabu na wahindi tu.
πŸ‘‰ Azania, Azam, metl, mengi na mafuruki walijitahidi kutubeba(RIP legendsπŸ’ͺπŸ™)
 
Kutooa kwa wakati nachukulia kama kukwepa majukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…