Hivi kuwa single mwisho miaka mingapi? Isijekuwa nishapitiliza.

Kuwa single ni aina mojawapo ya ulemavu
Nikiona mtu anawaongelea mbovu walio single, directly najua yupo kwenye gereza la ndoa na kuchomoka hawezi anabaki kuwaonea jealousy anatamani na wao wauvagae mtumbwi wa vibwengoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…