Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Huwaga najiuliza ikiwa Ada ya kusomea Udaktari kwa mwaka ni zaidi ya Milioni Sita bila ya mkopo. Ukipewa Mkopo 100% yadaiwa Serikali itakulipia nusu yaani sio zaidi ya milioni tatu. Inamaana mwanafunzi atalipa sio pungufu ya Tsh. Milioni 3. Kwa miaka mifano hiyo ni zaidi ya Tsh. Milioni 15.
Sasa najiuliza kwa watoto masikini ambao Ada tuu ya shule ya shule za Kata ziliwashinda, hivi watatimiza ndoto zao kweli za kuwa madaktari?
Maana hiyo Ada ya milioni Tatu Kwa mwaka sio lelemama kwa Watanzania masikini, Serikali iliangalie Jambo hili.
Ni akheri itoze Ada huku chini alafu Kwa watakobahatika kufika vyuo kusomea taaluma wasome bure, kuliko kusoma elimu ya sekondari bure ambayo hata ukimaliza hauna taaluma yeyote, na kuwalipisha wanaosomea taaluma au fani.
Serikali isomeshe bure madaktari na fani zingine nyeti ambazo hazina Wataalamu wengi. Kama ikishindwa itoe mikopo 100% .
Karibuni Kwa mjadala.