reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Ahsanteee kaka naomba Mungu Binti yangu atimize ndoto zakeWatanzania tujifunze kuwapigania watoto wetu tuliowazaa wenyewe tusitumie umaskini kama kichaka cha kulia lia
#beba hata bunduki kasake pesa