Hivi Kwa hii Ada ya Udaktari, watoto wa Masikini watatimiza ndoto zao kweli?

Watanzania tujifunze kuwapigania watoto wetu tuliowazaa wenyewe tusitumie umaskini kama kichaka cha kulia lia

#beba hata bunduki kasake pesa
Ahsanteee kaka naomba Mungu Binti yangu atimize ndoto zake
 
Mtoto wa maskini piga shule ufaulu vizuri upate scholarship achana na mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…