Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Picha ziko wapi!
Mkuu umekosea sana. Huko Halmashauri ndiko kuna watu wenye uwezo, walipata bila vimemo isipokuwa hawa Godfathers wa kuwapeleka BOT, TPA nk.
Mazingira wanayofanyia kazi ikiwemo kukosa mafunzo ya Umahiri kazini, kuishi na Wanavijiji, kuongozwa na Madiwani wanaojua kusoma na kuandika, kukosa exposure na Ushindani kumewafanya waduamae. Lkn vichwani Halmashauri kuna Dhahabu ambazo zimekosa tanuru la kuzichoma zing'ae japo vilaza wapo lkn siyo kwa kiwango hicho.
Vilaza wapo taasisi kubwa kubwa ambazo hijawahi skia interview wala tangazo la kazi na wana wamejazana jiulize wametoka wapi
Wanauelewa sana,sema hawana uharaka kama vile wako likizo!Nimetembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
Hakika zinahitajikaPicha ziko wapi!
Ni kama magenge flani, ambayo hayajali kitu. Ila yote hayo ni kutokana na kuanzia ngazi za juu.. mtoto umleavyo ndio akuavyo
... za hao wafanyakazi wengi vilaza wa Halmashauri. Si unajua tena uzi bila ya picha haunogi!Picha za nini mkuu?
Uzi uishie hapaMkuu umekosea sana. Huko Halmashauri ndiko kuna watu wenye uwezo, walipata bila vimemo isipokuwa hawa Godfathers wa kuwapeleka BOT, TPA nk.
Mazingira wanayofanyia kazi ikiwemo kukosa mafunzo ya Umahiri kazini, kuishi na Wanavijiji, kuongozwa na Madiwani wanaojua kusoma na kuandika, kukosa exposure na Ushindani kumewafanya waduamae. Lkn vichwani Halmashauri kuna Dhahabu ambazo zimekosa tanuru la kuzichoma zing'ae japo vilaza wapo lkn siyo kwa kiwango hicho.
Vilaza wapo taasisi kubwa kubwa ambazo hijawahi skia interview wala tangazo la kazi na wana wamejazana jiulize wametoka wapi
Picha sina ila nimefanya nao kazi wengi uweledi ni mdogo sana.... za hao wafanyakazi wengi vilaza wa Halmashauri. Si unajua tena uzi bila ya picha haunogi!
Na wewe ni mwajiriwa halmashauri?Ukinipa mshahara wa laki mbili basi nafanya kazi yenye 'thamani' ya laki mbili, usitemee miujiza, ebo!
Wengi elimu zao ni OPEN UNIVERSITY ni wajinga mno ukitaka kujua wafanyakazi wa Halmashauri wanapishana padogo sana na Policcm nenda vijijini.Nimetembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
Mtu anaweza kwenda Hamlshauri, ila mfumo anao ukuta, inabidi aende nao hivyo hivyo ili maisha yanaende, na kuna maeneo mengi tu, mtu anaweza ingia smart ila baada ya mda kama sio yeye, kawekewa maji kwenye brainHalmashauri zimejaliwa vilaza
Wengi elimu zao ni OPEN UNIVERSITY ni wajinga mno ukitaka kujua wafanyakazi wa Halmashauri wanapishana padogo sana na Policcm nenda vijijini.
Kuna injinia mmoja halmashauri aliplan kuweka mzani wa kuhakiki kwenye mwinuko,nikamuuliza Ili kupata barabara ya gari kupima inabidi levo ya barabara ipite juu ya paa za nyumba,alibaki anashangaa mpaka mradi ulifia hapo na hasara ya manondo kibao, shikamoo watumishi wa halmashauriPicha sina ila nimefanya nao kazi wengi uweledi ni mdogo sana.
Nilikuwa wilaya fulani mkoa wa nyanda za juu kusini
Kuna mradi wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu. Engineer hata kufanya leveling hajui