Mama Naa
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 925
- 2,177
Huko utazunguka saaaanaaaaa lakini shida kubwa ni maslahi tu. Huko halmashauri hakuna mtu Yuko bize na kazi wakati analipwa 600K mwezi mzima bila posho.Nimetembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.