Unapimwaje?Ufanisi katika kazi kiutendaji
Umeongea kwa ujumla na hadi mwisho hoja yako haijulikani. Uandishi huu unadhihirisha kuwa shida iko upande wakoNimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
Ulijuaje kuwa hajui wakati wakati hakukuwapo bando?Kuna jambo ilikuwa I.T wa halmashauri anifanyie hajui na bado ananiomba hela ya bando[/JUSTIFY]
Kipimo ni wewe au ? 😁😁Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
We dogo hajitambui. Tuanzie kwenye ajira, Halmashauri haziajiri. Management ya utumishi na utawala bora ndio wanaajiri. Mishahara ya Halmashauri wengi TGS japo kuna wengine wenye kada tofauti salary scale zao zinatofautiana na TGS humo humo ndani ya Halmashauri.
Halmashauri kuna wataalamu wengi kuanzia afya, Elimu, Kilimo, Uchumi, Ujenzi n.k na salary scale ni tofauti.
Acha kupotosha. We umeleta Tangazo la Ajira ndogo ndogo ambazo Halmashauri wanaomba kibali toka Management ya utumishi wa umma kuajiri na mishahara haitoki Halmashauri inatoka Hazina.
Nilianzia Ajira Halmashauri mengi uliyoandika ni ya kupotosha kwa chuki zako.
Mazao ya shule za kata ni 93%Nimepata nafasi ya kutembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
Wewe ndiye yule uliyetumwa na shemeji yako unisaidie dada yako katika kumuhamisha Mjomba wako anayesoma Primary School?Wanaojiriwa chini ya halmashauri huwa wanaambiwa wafike kwa "mwajiri" wapangiwe vituo vya kazi. Na halmashauri ndio huwapangia vituo vya kazi
Hapo ilipoandikwa "mamlaka ya ajira" inamaanisha nini? I stand to be corrected
View attachment 3389713
😂😂😂Sionei mtu na Sina chuki na mtu ila MANISPAA YA UBUNGO INAONGOZA KWA UZEMBE AMA NI VILAZA AU WANATAKA RUSHWA AU HAWAJUI KAZI.
UBUNGO PULL UP YOUR SOCKS.
Wewe ndiye yule uliyetumwa na shemeji yako unisaidie dada yako katika kumuhamisha Mjomba wako anayesoma Primary School?
Majobless wa JF bwana. Yaani hasira za kukosa kwako ajira unamalizia kwa wengine? Sasa kwa jinsi unavyoandika tu hapa JF inaonekana nani ana shida kati yako na hao watumishi wa LGA.
Kazi zaoKipimo ni wewe au ? 😁😁
Umekuwa mpole sio. Kwanini pamoja na kutumia simu kuingia JF bado una limuandiko libaya?Nilichoomba ni kusaidiwa ufafanuzi kwenye hilo, kama una majibu yake nitashukuru
Ambazo unawapima wewe Maamuma? Acha makasiriko dogo. 😁😁😁😁😁😁😁Kazi zao
Sasa Engineer anafanya levelling ya uwanja? Yeye alikuwa mkandarasi au?Picha sina ila nimefanya nao kazi wengi uweledi ni mdogo sana.
Nilikuwa wilaya fulani mkoa wa nyanda za juu kusini
Kuna mradi wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu. Engineer hata kufanya leveling hajui
Alikuwa anasimamia mradi na yupo field asubuhi mpaka jioniSasa Engineer anafanya levelling ya uwanja? Yeye alikuwa mkandarasi au?
Kwa higo kilikuuma hela ya bando. Bro ungempa tu. Ni kweli baadhi ya halmashauri unaweza kosa huduma kisa bando tu.Mkuu umetembelea halmashauri au unaongea tu?
Kuna jambo ilikuwa I.T wa halmashauri anifanyie hajui na bado ananiomba hela ya bando
Kuombwa bando ndo unapiga kelele?Mkuu umetembelea halmashauri au unaongea tu?
Kuna jambo ilikuwa I.T wa halmashauri anifanyie hajui na bado ananiomba hela ya bando
Hawana ela ya kuwalipa wenye shahadaKama sikosei hivi kwa nini halmashauri zinaongoza kwa kuajiri wenye certificate na diploma?
Wewe umepima kazi zao zote ulipoenda?Kazi zao
Uelewa,weledi na utendaji wa kaziKwanini uwezo wao ni mdogo? Uwezo unapimwa kwa kigezo kipi?