Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

Mkuu umetembelea halmashauri au unaongea tu?

Kuna jambo ilikuwa I.T wa halmashauri anifanyie hajui na bado ananiomba hela ya bando​
Awali nilitaka kuuliza unajishughulisha na nini hadi utafute huduma katika Idara zote 19 - 20 za Halmashauri. Lakini pia Halmashauri zote zina huduma ya internet ya bure inayoratibiwa na IT. Uliuliza hilo bando anataka aweke wapi?
 
Nafikiri yule afisa TEHAMA njaa ndio inamsumbua​
 
Nilichoona hawataweza kwenda na kasi ya Wachina.

Wafanyakazi wa halmashauri wavivu na goigoi sana wanaingia kazini saa 3 asubuhi saa 9:30 alasiri wanafunga kazi wanarudi nyumbani.

Wana speed ya trekta
​
Kama trekta linafanya kazi iliyokusudiwa tatizo liko wapi?

Labda wao wanajali ubora zaidi na siyo kasi ya utoaji huduma husika?
 
Kama sikosei hivi kwa nini halmashauri zinaongoza kwa kuajiri wenye certificate na diploma?​
Kuna mtumishi juzi kanambia kua mshahara wa graduate WA degree ni kuanzia laki 8 wakati mwenye diploma au certificate ni nusu ya hiyo,kwahiyo wanaajili hao wenye certificate na diploma ili kupata cheap labour na kuongeza quantity
 
Back
Top Bottom