Huko utazunguka saaaanaaaaa lakini shida kubwa ni maslahi tu. Huko halmashauri hakuna mtu Yuko bize na kazi wakati analipwa 600K mwezi mzima bila posho.Nimetembelea halmashauri mbalimbali hapa Tanzania nilichogundua watumishi wengi ni vilaza sana kwenye utendaji.
Yaani idara zote za halmashauri unakuta watumishi hawana weledi katika kazi ufanisi ni zero kabisa.
Nafikiri ifikie pahala serikali iangalie kwa kina vigezo vya mtu kuajiriwa kama mfanyakazi wa halmashauri kuna madudu mengi sana.
Kuna injinia mmoja halmashauri aliplan kuweka mzani wa kuhakiki kwenye mwinuko,nikamuuliza Ili kupata barabara ya gari kupima inabidi levo ya barabara ipite juu ya paa za nyumba,alibaki anashangaa mpaka mradi ulifia hapo na hasara ya manondo kibao, shikamoo watumishi wa halmashauri
Za hao watumishi wasio na welediPicha za nini mkuu?
Sionei mtu na Sina chuki na mtu ila MANISPAA YA UBUNGO INAONGOZA KWA UZEMBE AMA NI VILAZA AU WANATAKA RUSHWA AU HAWAJUI KAZI.
UBUNGO PULL UP YOUR SOCKS.
Huko utazunguka saaaanaaaaa lakini shida kubwa ni maslahi tu. Huko halmashauri hakuna mtu Yuko bize na kazi wakati analipwa 600K mwezi mzima bila posho.
Ukinipa mshahara wa laki mbili basi nafanya kazi yenye 'thamani' ya laki mbili, usitegemee miujiza, ebo!
Halmashauri wanaamua tu ila kuwa watu wako vizuri sana ..Huko hakuna motisha watu wana hasira tu muda wote ..Unakosea sana unaposema hawana uweledi ...Unakuta hata mafunzo na seminar hawana kabisa
Wapeleke wachina wawasaidie, tunaweza kusogea japo kidogo.
Kule ndo kwenye cheap labour
Kwenye maisha jitahidi sana kuficha uchi wa akili yako mbele za watu. Hapa umeandika kitu usichokijuaNi kwa sababu ya viwango vyao vya elimu wengi TGTSB na TGTSC
Hapa napo umepotosha kwa kuwa hujui kitu. Kuanzia lini Halmashauri zinaajiri?Kama sikosei hivi kwa nini halmashauri zinaongoza kwa kuajiri wenye certificate na diploma?
Kwanini uwezo wao ni mdogo? Uwezo unapimwa kwa kigezo kipi?Unafikiri shida ni malipo, uwezo wa watumishi wa halmashauri kiutendaji ni mdogo sana
Ajira zao huwa zinaandikwa mwajiri wao ni halmashauri.Hapa napo umepotisha kwa kuwa hujui kitu. Kuanzia lini Halmashauri zinaajiri?
Acha shobo dogo.
Kwanini uwezo wao ni mdogo? Uwezo unapimwa kwa kigezo kipi?
We dogo hajitambui. Tuanzie kwenye ajira, Halmashauri haziajiri. Management ya utumishi na utawala bora ndio wanaajiri. Mishahara ya Halmashauri wengi TGS japo kuna wengine wenye kada tofauti salary scale zao zinatofautiana na TGS humo humo ndani ya Halmashauri.Ajira zao huwa zinaandikwa mwajiri wao ni halmashauri. Ni mwendo wa TGTSB na TGTSC
View attachment 3389711
View attachment 3389712