Hivi kwa nini wafanyakazi wengi wa halmashauri hawana uweledi?

Madiwani wengi elimu ziro na ndio maboss wao hivyo wanawakatisha tamaa na kuwafanya wawe watu wa majungu badala ya kuonyesha ufanisi mzuri wa kazi
 
Umeongea kwa ujumla na hadi mwisho hoja yako haijulikani. Uandishi huu unadhihirisha kuwa shida iko upande wako
 
Kipimo ni wewe au ? 😁😁
 
Wanaojiriwa chini ya halmashauri huwa wanaambiwa wafike kwa "mwajiri" wapangiwe vituo vya kazi.

Na halmashauri ndio huwapangia vituo vya kazi

Hapo ilipoandikwa "mamlaka ya ajira" ni halmashauri fulani inamaanisha nini?

I stand to be corrected


​
 
Mazao ya shule za kata ni 93%
 
Wanaojiriwa chini ya halmashauri huwa wanaambiwa wafike kwa "mwajiri" wapangiwe vituo vya kazi. Na halmashauri ndio huwapangia vituo vya kazi

Hapo ilipoandikwa "mamlaka ya ajira" inamaanisha nini? I stand to be corrected

View attachment 3389713
​
Wewe ndiye yule uliyetumwa na shemeji yako unisaidie dada yako katika kumuhamisha Mjomba wako anayesoma Primary School?

Majobless wa JF bwana. Yaani hasira za kukosa kwako ajira unamalizia kwa wengine? Sasa kwa jinsi unavyoandika tu hapa JF inaonekana nani ana shida kati yako na hao watumishi wa LGA.
 
Nilichoomba ni kusaidiwa ufafanuzi kwenye hilo, kama una majibu yake nitashukuru​
 
Nilichoomba ni kusaidiwa ufafanuzi kwenye hilo, kama una majibu yake nitashukuru​
Umekuwa mpole sio. Kwanini pamoja na kutumia simu kuingia JF bado una limuandiko libaya?

Sasa wewe na hao jamaa wa Halmashauri nani kilaza? Kwahiyo uncle wako ulishindwa kumuhamisha? Ulimueleza nini Shemeji yako wakati uliambiwa uende Halmashauri kumsaidia dada yako kumuhamisha mjomba? 😁😁😁😁
 
Picha sina ila nimefanya nao kazi wengi uweledi ni mdogo sana.

Nilikuwa wilaya fulani mkoa wa nyanda za juu kusini

Kuna mradi wa kujenga uwanja wa mpira wa miguu. Engineer hata kufanya leveling hajui
Sasa Engineer anafanya levelling ya uwanja? Yeye alikuwa mkandarasi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…