ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Alaa Kwa hiyo ulienda site ukakuta ufanisi wa kazi za wahandisi ni Changamoto 😂😂Nimekutana na engineers, maafisa TEHAMA, T.Os, wakuu wa idara mbalimbali kama kilimo, elimu, biashara n.k wengi ufanisi wa kazi ni changamoto
Awali nilitaka kuuliza unajishughulisha na nini hadi utafute huduma katika Idara zote 19 - 20 za Halmashauri. Lakini pia Halmashauri zote zina huduma ya internet ya bure inayoratibiwa na IT. Uliuliza hilo bando anataka aweke wapi?Mkuu umetembelea halmashauri au unaongea tu?
Kuna jambo ilikuwa I.T wa halmashauri anifanyie hajui na bado ananiomba hela ya bando
Mkuu usiniweke kwenye kundi lolote mimi niko zangu Kantalamba nalima mpungaWorking culture ndio tatizo namba moja huko makazini kwenu.
Message #13Alaa Kwa hiyo ulienda site ukakuta ufanisi wa kazi za wahandisi ni Changamoto 😂😂
Awali nilitaka kuuliza unajishughulisha na nini hadi utafute huduma katika Idara zote 19 - 20 za Halmashauri. Lakini pia Halmashauri zote zina huduma ya internet ya bure inayoratibiwa na IT. Uliuliza hilo bando anataka aweke wapi?
Jibu ni kwamba.Picha za nini mkuu?
Umesema vyemaJibu ni kwamba.
Hawapimwi!
Hawanq malengo ( targets)
Hawashindanishwi.
Ajira ya kudumu
Walevi na wazinzi.
Hawana fikra nje ya pale
Kama trekta linafanya kazi iliyokusudiwa tatizo liko wapi?Nilichoona hawataweza kwenda na kasi ya Wachina.
Wafanyakazi wa halmashauri wavivu na goigoi sana wanaingia kazini saa 3 asubuhi saa 9:30 alasiri wanafunga kazi wanarudi nyumbani.
Wana speed ya trekta
Kama trekta linafanya kazi iliyokusudiwa tatizo liko wapi?
Labda wao wanajali ubora zaidi na siyo kasi ya utoaji huduma husika?
Kuna mtumishi juzi kanambia kua mshahara wa graduate WA degree ni kuanzia laki 8 wakati mwenye diploma au certificate ni nusu ya hiyo,kwahiyo wanaajili hao wenye certificate na diploma ili kupata cheap labour na kuongeza quantityKama sikosei hivi kwa nini halmashauri zinaongoza kwa kuajiri wenye certificate na diploma?
Na sio qualitykupata cheap labour na kuongeza quantity
Kwakua anajua akiajili mwenye degree analazimika kulipwa mshahara kuanzia lak 8 wakati certificate au diploma ashapata wawiliNa sio quality