kwamba ukiwa member wa Jf ndio inafanyaje anko?πππππIlitakiwa ukaze,hakuna kutoa msamaha kwa "maliyemu".Unavyotoa msamaha baada ya "marehemu kufa" inatuambia kwamba unaogopa kifo.Member wa JF unaogopaje kifo?ππππ
Kumbe bado ni mwanamwali kabisa.Leejay49 2011 darasa la nne? Au ni typo?
Mimi ni mkimya na mpole Sana Ila nikikukata jicho π unajua kabisa huyu ni mtu serious Kuna kipindi wife alikua anasema Mimi sipo romantic pia sio mtu wa kucheka Cheka kabisa yeye anapenda kucheka siku ame enda ukweni kwa mama AKASEMA ALIPO KUA ANACHEKA CHEKA MAMA ALIKUA ANAMKATA JICHO KALI π€£π€£Mkuu hata mimi si mwepesi wa kumzoea mtu haraka pia watu hawanizoei haraka.
Nilikuwa na id kongwe nlivyopoteza cm ikawa basi tena, nimekaa almost 5 years kabla ya kujiunga tena. Avatar inanipa uhuru wa kuchangia chochote nnachojisikia na wakanichukulia kama kijana mwenzao, sitaki kuwa judged na umri π π . Kuna vitu vinafunga sana mtu akivijua, hasa umri na kazi. mtu atakupa maoni yake kwa kuangalia hivyo vitu na sio ule ukweli halisiLakini id yako naona kama sio kongwe mkuuπ€π€,. Na Avatar pia kama ya vijanaπ
ππ Namchokoza akija hapa ni mitusii tuuKumbe secretarybird ni mwanamke?
secretarybird kumbe mshangazi na umetulia hausemi..!! πΉ
hapo sawaπππ,. Unakuwa huru zaidiNilikuwa na id kongwe nlivyopoteza cm ikawa basi tena, nimekaa almost 5 years kabla ya kujiunga tena. Avatar inanipa uhuru wa kuchangia chochote nnachojisikia na wakanichukulia kama kijana mwenzao, sitaki kuwa judged na umri π π . Kuna vitu vinafunga sana mtu akivijua, hasa umri na kazi. mtu atakupa maoni yake kwa kuangalia hivyo vitu na sio ule ukweli halisi
Naomba niwe rafiki wa make wako mkuu kisha atakueleza kutachomtokea πKumbe secretarybird ni mwanamke?
Hapana siku hizi nimeshauona mkono wake bwana.ππ Namchokoza akija hapa ni mitusii tuu
Mkuu ukiwa mtu wa Kila mtu ni hatari hapa duniani hivyo Lazima u-maintain distance kidogo ndipo mambo yaende.Mimi ni mkimya na mpole Sana Ila nikikukata jicho π unajua kabisa huyu ni mtu serious Kuna kipindi wife alikua anasema Mimi sipo romantic pia sio mtu wa kucheka Cheka kabisa yeye anapenda kucheka siku ame enda ukweni kwa mama AKASEMA ALIPO KUA ANACHEKA CHEKA MAMA ALIKUA ANAMKATA JICHO KALI π€£π€£
AKASEMA wewe upo serious Sana kama mama yako