Hivi kwani Mungu anajibu maombi mabaya?

Aiseee. Yaani 2012 ulikuwa darasa la 4 😁😁😁😄

Dah inasikitisha sana.
 
My dear don't ever repeat the same habit!!

Ulifika mbali sana kwa kweli,like seriously wapata courage ya kumwombea mwenzio kifo?,really?.

It seems that you're not a normal human being or a God fearing person!!!
 
hapo sawa😃😃😃,. Unakuwa huru zaidi

Kingine hongera sana,. vipi kijana wako ameshaoa?😛😛😛 ( asking for a friend )
Hahah yupo wa mwisho hajaoa mwezi wa 7 huu anamaliza chuo pia, but you know what... siwezi ruhusu awe na relationship yoyote na mtu anajuana mpaka na akina mzabzab, mbagga jr, mpaji mungu, secretarybird.😜 Awee utamwonea sana ni mkimya mno 😅😅😅 dogo mwenyew sijui kama anazijua hata mbususu
 
Wala hakufa sababu ya maombi yako, ni guilty conscience inakusumbua
Imagine chuki waliyonayo wapalestina dhidi ya Nentanyau, na chuma kinadunda,
Ukraine dhidi ya Putin
Mungu anajibu maombi kadiri anavyoona inafaa, hapangiwi
 
ngoja nikipata wasaha nitapitia hili andiko lako binti yangu
 
weeee eti hazijui mbususu,. Jidanganye😂😂😂.Tena wapole ndio wa kuogopwa,. Unaweza kuta anamiliki limshangazi ,.
Sema kama anamaliza chuo mwaka huu huyo atakuwa ni mdogo kwangu au agemate so hata rafiki yangu hawatawezana😜
 
Haiwezekan, akirud home sijawah sikia hata kesi, hata fununu yaan anakuwag busy na mambo yake tu hata kutembea vijiweni tu hawezi akiingia ndani anaweza kutoka jioni. Mbona kaka yake hadi kesi za wake za watu nimeletewa sana.

Au akiambiwa "msalimie umpendaye" haelewag?😂😂😂

Anyway, hatawezana na rafiki yako tena?😅
 
Njoo kwangu tuwe marafiki, mi nilishamalizaga chuo kitambo
 
pole, mimi kipindi nasoma, nilikuwa sina sukari wala blue band/tanbond ya uji (wale wa bodi wanajua), nilitoka kijijini balaa, kuna siku jamaa mmoja maisha safi toka DSM alisema nimfulie nguo zake atanipa sukari kwa sababu yeye walikuwa wanampa katoni nzima anakuja nayo kwenye tranka. nikafua nguo zote siku ile halafu akakataa kunipa sukari. pesa nilikuwa sina ila Mungu alinijalia akili nilikuwa nawaongozea darasa zima, sijawahi kusoma tuition nikirudi likizo ni jembe sisomi wenzangu wakienda mijini wanasoma tuition ila wakirudi mimi nawaongozea.

Mungu alinibariki sana sana, kuna siku nikajakuta yule jamaa alininyima ujira wa sukari, anaomba kazi ya udereva kwenye kampuni yetu, amechoka mbaya wazazi wake walikufa, mali zao zilitapanywa na ndugu, alifeli form four hana mbele wala nyuma. nilimwonea huruma sana. nimefundisha watoto wangu wamheshimu na kutenda mema kwa kila mtu wanayekutana naye maishani aisee.
 
S
So mlimpa kazi?

2) mnamiliki kampuni halafu unashindwa kununuliwa hata sukari shuleni?
 
Duuh kuna watu mnakuwa seriously kushikiria mabaya mnayofanyiwa

Yaani mimi maisha yangu yote hata unikosee vipi siwezi weka kitu moyoni
Ni mwepesi sana kusamehe na ndio maana ni mwepesi kuanza upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…