Uchaguzi 2020 Hivi kwanini baadhi ya watu wanataka Aidah Khenan wa CHADEMA ajiuzulu Ubunge alioshinda?

Aunge juhudi tu kwa chama kubwa
Maana hicho kikosi cha Mbowe hakina jipya tena
Kitabaki na wachache saana
Naona wazi kabisa wengi wataunga juhudi kwa jins JPM atavyoeguza nchi na kuwa SUPER POWER EAST AFRICA na kuwa ULAYA YA EAST AFRICA😂😂😂
 
Kila anayelalamika kuhusu kushindwa ni kwamba anaona kapoteza Fedha nyingi sana kwa miaka 5 kama posho na mishahara na wanajua jinsi zilivyo tamu achilia kiinua mgongo.

Maisha yaendeleee
Chadema wanafki,waligomea serikali za mitaa maana wakubwa hawakuwa walengwa,ila uchaguzi mkuu kina Mbowe walishindwa kususia wakajua watashinda,kumbe JPM wa serikali za mitaa ni huyu huyu wa uchaguzi mkuu.
 
Hapa ndo tunakwenda jua wazalendo wa kweli na wakamata fursa. Bila ruzuku hali itakuwa mbaya kweli kweli.
 
Hajatumwa na wenzake Diba ametumwa na wananchi. Akijiuzulu atakua amevunja mkataba na hatawatendea haki aliowaahidi kuwatumikia miaka5
KIFO CHA WENGI NI HARUSI KWANZA HAO WANAINCHI WANA MSHANGAO NA kuduwazwa...shujaa arudishe sime kwenye kundi la mbuzi kwa vyovyote tu lazima ukubaliane nao au ujitenge nao
 
Umfute uanachama kwa kosa gani?
Kuna hoja ulitoa kwamba Mbunge ni muwakilishi wa wananchi so hawajibiki kwa chama.
Ndio kwenye kukuelewesha nikatoa hoja kwamba chama kinamdhamini mgombea sio wananchi.
Kwahiyo chama kikikutimua sababu umekaidi msimamo wa kususia matokeo then hana ujanja zaidi ya kuvuliwa ubunge ama akimbilie mahakamani ku buy time.
 
Huyu akiingia bungeni tutamfuta uanachama, hivyo atapoteza ubunge wake.
 
Jibu ni moja tu. WAPUMBAVU
 
Solidarity kwenye hela wewe kiazi kweli
Kwani ubunge wa viti maalum si alipewa akiwa kapuku kabisa hakuna anayemfahamu kwenye ulimwengu wa siasa.

Leo hii ndio azione pesa ni muhimu kuliko waliompa ubunge wa ''zawadi'' miaka 5 iliyopita?

Huyo dada ni lazima ajiuzulu otherwise amehalalisha upuuzi wote uliofanyika jana.
 
Hao watu hawajui labda posho ya kikao kimoja cha bunge ni shilingi ngapi za kitanzania. We unafikiri kwanini CCM hawataki kung'oka madarakani? Kwasababu wanatupenda sana watanzania?
Akijiuzuru atakuwa lofa.
 
Tulieni dawa iwaingie mtasema yote
 
Nadhani kuna wabunge wawili watatu kutoka pemba ACT.

Otherwise kuna viti maalum kma slots 5 maybe kwa CHADEMA.

So kma hawatasusia ina maana wapinzani watakua at least 25 bungeni. So mawaziri kivuli watagawana tu, kumbuka bado kunahitajika mwenyekiti PAC atoke upinzani, kuna mnadhimu mkuu n.k watatosha tu!!
 
Mwacheni dada wawatu asonsomole mihela ya Ubunge.
ubunge ni raha asikwambie mtu.
wenye ndugu wabunge tu wanakula maisha sikwambii uyombunge mwenyewe.
 
Kwahiyo chama kikikutimua sababu umekaidi msimamo wa kususia matokeo then hana ujanja zaidi ya kuvuliwa ubunge ama akimbilie mahakamani ku buy time.
Mkuu Zitto J,
Vipi kama Mbowe ndiyo angeshinda ubunge peke yake?
 
Asijihuzulu ahamie tu CCM asipoteze muda wa kuwa pandikizi upinzani hautakiwi sasa atafanyaje kazi na Rais alishasema hawezi kumpa chakula mtoto wa kambo kabla ya watoto wake kwanini yeye achangie kuwacheleweshea maendeleo wana jimbo kama hawezi kujihuzulu ahamie huko CCM si wao huwa hawajali kama walivomtambua silinde akaendelea kuwa mbunge baada ya kuhamia CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…