The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #41
Umfute uanachama kwa kosa gani?My point is sheria ndio inasema hivyo otherwise akimbilie mahakamani ili awe mbunge pending maamuzi ya mahakama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umfute uanachama kwa kosa gani?My point is sheria ndio inasema hivyo otherwise akimbilie mahakamani ili awe mbunge pending maamuzi ya mahakama.
Huyu au mwenzake ndio atakuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Atatakiwa awe na mawaziri vivuli. Atatakiwa atoe majibu ya Upinzani kila Bajeti ikiwasilishwa. Atatakiwa awe mjumbe wa kamati nyingi tu akiwakilisha upinzani. Hapo bado kuwakilisha wananchi wa jimbo lake pamoja na chama chake Bungeni. Akiweza vyote hivyo atakuwa jembe kweli.Wakuu Salaam:
Nazunguka kila site kufatilia kinachojiri kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi.
Mh.Aidah Khenan ameshinda kupitia CHADEMA dhidi ya Kessy kule Nkasi Kaskazini. Sasa kinachoshangaza ni baadhi ya watu ambao pia wana Profile nzuri tuu kwa namna fulani wanapendekeza hata huu Ubunge alioshinda huyu Mh. aupige chini.
Ubunge ni kazi kama kazi zingine na yeye pia anao wanaomwangalia.
Ule ulikua ni uchaguzi na yeye ndiyo katangazwa, kwanini watu wanapendekeza na kutoa maoni kabisa asikubali na wala asiende bungeni wakati ndiyo yeye katangazwa?
AacheAwaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Aache Kwa nini we unadhani hao wanaomdanganya watamletea ugali mezani? We huwajui wanasiasaAwaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Chadema ni mazuzu tu, bora wamefutwaNi upumbavu tu et aache ubunge kisa wakubwa zake hawajapata ubunge
Clip zilizoanza kurushwa Jana zimemuharibia maana inaonekana zimeanza mapema so katolewa yule ila yuko mtu special atalianzisha bungeniKessy ana mkosi gani?
Hata akimfuta, Spika na Tume ya Uchaguzi watakataa kutambua kuwa amefutwa. Kama amewekwa kama boya, hamna namna watakubali akose ubunge.Mbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
🤣🤣🤣🤣Chadema ni mazuzu tu, bora wamefutwa
Magufuli play station resulty vote....vs wanainchi playstationMkuu ule uliofanyika ulikua uchaguzi na mshindi lazima atangazwe. Sasa katangazwa Aidah kashinda dhidi ya Kess wa CCM, kumyima haki yake ya kufanya kazi kuwakilisha wananchi kupitia alichokua anapigania siyo sahihi.
Kwakweri😁😁😁Wamuache dada wa watu achape kazi kweri-kweri.
Sasa atakuwa na raha gani wenzake wote wanalia yeye peke yake anafurahia?na je anaamini wenzake wote Tanzania nzima wameshindwa kihalali kama sivyo aungane na wenzake kushinikiza watawala kutopoka tena haki ya wananchi ya kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka.
Sent using Jamii Forums mobile app
No no no. Eti kutaonyesha hayupo kimaslahi. Ni mbunge yupi ambae hayuko kimaslahi?Kujiudhuru kutaonesha hayupo kimaslahi. Mtu mwenye akiki timamu hawezi furahia kwenda bungeni wakat wenzake wamefanyiwa michezo michafu
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
kiongozi wa upinzani bungeni...ila nawaza kina mbowe na wengine kina zito wavifute tu vyama vyote wakibakize ccm waingie huko..alafu tuone hao wanainchi watafanyajwe....watalimia meno.kujenga lami kwa mikono na kupasua milima kwa visigino..tz itakuwa utumwani....dawa mtakula mitishamba mtafanya kazi kwa mijeledi...sijui kama kuna mtu anafikiri kama mimi tuumalize upinzani..Mbunge anadhaminiwa na chama sio wananchi. Hta bungeni mnakaa kwa mfumo wa kichama, same to kamati. Na ndio maana Leo Mbowe akimfuta uanachama huyo dada ndio ubunge wake unafia hapi hapo.
Mbowe alikua ni:Huyu au mwenzake ndio atakuwa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Atatakiwa awe na mawaziri vivuli. Atatakiwa atoe majibu ya Upinzani kila Bajeti ikiwasilishwa. Atatakiwa awe mjumbe wa kamati nyingi tu akiwakilisha upinzani. Hapo bado kuwakilisha wananchi wa jimbo lake pamoja na chama chake Bungeni. Akiweza vyote hivyo atakuwa jembe kweli.
Amandla...
NaniNimeona clip analia kwa furaha
Unamaanisha auache mshahara wa kibunge utamapa ugali wewe kiazi kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Awaachie tu CCM maana hata hilo Bunge litakuwa ni kama kikao cha wana-CCM tu.
Maslahi sio ya chama Bali Ni ya wananchi.Kujiudhuru kutaonesha hayupo kimaslahi. Mtu mwenye akiki timamu hawezi furahia kwenda bungeni wakat wenzake wamefanyiwa michezo michafu
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app