don twelve
Member
- Mar 8, 2015
- 14
- 3
Acha uvivu chapa kazi. Kama hupendi CCM ni wewe sisi tunaipenda.
fact, umaskini unapunguza sana uwezo wa kufikir kutokana na lishe mbovu.. pia huwafanya watu kuamini maisha waliyonayo ndio wanayostahili.. sie wachache tunakaz ya kuwakomboa. viva TZ
No research,no right to speak,baada ya utafiti wa kina nilioufanya kuanzia vijijini hadi mijini ktk vijiji 75 na miji 4,nimebaini kuwa ccm ina mizizi sana vijijini kuliko mijini,watu wengi niliowahoji ktk vijiji hivyo tofauti ktk utafiti wa miaka mitatu niliofanya na kuuhitimisha jana nimebaini kuwa wengi wanaoipenda ccm ni maskini wa kutupwa na wasio na elimu yoyote,na hawajui kwanini inawapasa kupiga kura,wananchi wengi wa mjini niliowahoji nilibaini kuwa wengi wao wanaoipenda ccm ni wale wanaotoka ktk familia za makada wa ccm,na wengine ni ushabiki wa kushabikia wasiojua lolote,na wengi wanaopenda upinzani nimebaini kuwa ni kundi la watu waelewa sana ambao wana ndoto nzito za kufanikiwa kimaisha,wanawaza kumiliki magari ya kifahari,biashara kubwa na makampuni hao ndo wanataka ccm ianguke,kifupi nimegundua kuwa wanaoipenda ccm wapo ktk makundi matatu,(1) maskini wasio na future (malofa) (2) wanaofaidika na ufisadi na mfumo mbovu wa ccm (3) wajinga wasiojua kitu na walio karibu na vigogo wa ccm,embiciles.
Utafiti wako bado unaukakasi weka namba ya idadi ya masikini unaosema ndio wengi afu tupe na ushahidi wa ama video au sauti zao.
Pia tutajie angalau majina 1900 ya watoto wa vigogo wanaonufaika na ccm.
3 hilo kundi la wasiojielewa wewe pia upo ndani yake vinginevyo nitakuwa bado namashaka na research yako ambayo haina evidence.

Utafiti wa mdau umekuchapa!!?huo utabaki kuwa utafiti wako hata mwingine anaweza akaja na oppozt research ikakubalika vilevile coz kila mtu anauhuru wa kufanya research aitakayo
Hao ndo mnaowalaghai