Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Wanaoipenda CCM wana tabia zifuatazo

1. Wajinga, hawajitambui
2. Maskini, wanaongwa kirahisi
3. Wamelishwa dose ya udini kwa kuambiwa chama fulani ni cha dini fulani-Mfano Ritz, CHAMVIGA, Kahtaan
4.Wananufaika na CCM direct kwa kukwepa kodi,au kuiba hela za umma-hapa utaona matajiri hutoa malori yao kusomba watu kwenye mikutano ya CCM
 
200361_119661388109197_100001960098301_149674_5983661_n.jpg
 
kwa sababu vibaka na wavuta bangi wengi wako mjini ndio mashabiki wa chadema
 

Nimetaka nicheke picha za masinia ya wali lakini nikajiuliza. Hivi hizo sehemu je wanajua maswala ya EPA, Richmond, melemeta nk. Hembu niambie i kuna radio political talk show ngapi zinazofika vijijini. Sehemu hizo ni wali ndio unakupatia kura
 
Naridia tena! CHADEMA Kama tupo siriazi tunahitaji radio na gazeti la chama! bila hivo wananchi hawatajua ukweli no uhuru again!
 
mtaji wake ni uelewa UNAPOKUWA EMPTY lakini pia watu kutokuwa na uhakika wa mlo wa cku yaani njaa kali.
 
Duh hii kali Dar Ilala CCM, Morogoro CCM na sehemu nyingi tu. Halafu wewe ni mkenya. Kichwa cha thread kimekutambulisha. Operation kimbunga unakuhusu.

Kawe ina maendeleo na wasomi kuliko sehemu yeyote ya jiji, walichagua upinzani. Mtu aliyeelemika haachi kufikiria namna ya kupata zaidi na zaidi hata na kwa kizazi chake. Asiye na elimu ili mradi ashibe leo mengineyo kila mtu anakuja na riziki yake.
 
wanakalenga wanawasoma kwa jinsi msivyo na busara kuwatusi, ndio maana wanajua hamkua na nia ya dhati ya kuwachagueni, oneni mnavyokashifu watu baada ya kukosa kura, hamna busara na hamstahili kuongoza hii nchi, wananchi hawahitaji watu kama nyie wenye matusi na si vision..
 
niambie ni sehemu gani ya Tanzania ambayo haina dhiki chadema imeshinda? kwa taarifa yako nyinyi mtaendelea kuipa ushindi chadema hapa hapa JF, sisi kule field tonafanya kweli. hata hiyo 20% mliyopata kalenga mshukuruni huyo mungu wenu wa kuzimu. subirini chalinze muone tutakachowafanya. hamuwezi kuwadanganya waTZ kwe muda wote kuwa hiyo saccos yenu ni chama cha siasa. nyie endeleeni kuipromote cdm yenu humu humu ndani, nje ya hapa ni kibano tu. mkitaka wekeni hata zile kura zenu za maoni humu ili muendelee kushinda na wale waandishi wenu vibaraka wataendelea kuyaripoti kwenye magazeti yao kuwa chadema yashinda uchaguzi kwenye mtandao wa JF kama kawaida yao

Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?
 
Nimetaka nicheke picha za masinia ya wali lakini nikajiuliza. Hivi hizo sehemu je wanajua maswala ya EPA, Richmond, melemeta nk. Hembu niambie i kuna radio political talk show ngapi zinazofika vijijini. Sehemu hizo ni wali ndio unakupatia kura


CHADEMA wana kazi!
 
Back
Top Bottom