mwanangoko
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 136
- 23
niambie ni sehemu gani ya Tanzania ambayo haina dhiki chadema imeshinda? kwa taarifa yako nyinyi mtaendelea kuipa ushindi chadema hapa hapa JF, sisi kule field tonafanya kweli. hata hiyo 20% mliyopata kalenga mshukuruni huyo mungu wenu wa kuzimu. subirini chalinze muone tutakachowafanya. hamuwezi kuwadanganya waTZ kwe muda wote kuwa hiyo saccos yenu ni chama cha siasa. nyie endeleeni kuipromote cdm yenu humu humu ndani, nje ya hapa ni kibano tu. mkitaka wekeni hata zile kura zenu za maoni humu ili muendelee kushinda na wale waandishi wenu vibaraka wataendelea kuyaripoti kwenye magazeti yao kuwa chadema yashinda uchaguzi kwenye mtandao wa JF kama kawaida yao
Kamwe sitakubali kuhongwa UBWABWA na maharage