Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
CCM wanahusika vipi na hii picha?
Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.