tangu mfumo wa vya vingi uaze tz CCM haijawahi kupata hata diwani PEMBA..........chezea wapemba wewe....ni watu wajanja werebu tena wanatembea hawwezi kuwa wajinga wa kuuza kura kwa wali na kofia...naNdo maana CCM wanachukia mikoa ya kaskazini, maana huko kuna watu wanaojitambua watu wasiohongeka kirahisi, watu wenye elimu ya kutosha. Ukichunguza kwa makini CCM inapendwa zaidi zaidi maeneo ya pwani, maeneo ya kusini na ya kati ya nchi na ndo sehem ambapo maendeleo yapo with exception to Dar es salaam.:eyebrows:
katika mchakato wa katiba wao watazuiya kuchakachuliwa maoni ya wananchi kwenye bunge..MAANA CCM HAWANA 2/3 YA WAJUMBE ZANZIBAR KUPITISHA UTUMBO WAO.......wapemba na wachanga mwendo mdundooo