Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Ndo maana CCM wanachukia mikoa ya kaskazini, maana huko kuna watu wanaojitambua watu wasiohongeka kirahisi, watu wenye elimu ya kutosha. Ukichunguza kwa makini CCM inapendwa zaidi zaidi maeneo ya pwani, maeneo ya kusini na ya kati ya nchi na ndo sehem ambapo maendeleo yapo with exception to Dar es salaam.:eyebrows:
 
Mambo ya uislamu yameingiaje hapa? cc: kahtaan

Mkuu huyo jamaa ni ktk ile misukule ya kamati ya kuhalalisha gongo ya Dr wa tiba mbadala (Slaa)!
Ndio maana hata anacho kiandika kimekaa ki gongo gongo! Km ile sura ya Chairman wake.
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana CCM wanachukia mikoa ya kaskazini, maana huko kuna watu wanaojitambua watu wasiohongeka kirahisi, watu wenye elimu ya kutosha. Ukichunguza kwa makini CCM inapendwa zaidi zaidi maeneo ya pwani, maeneo ya kusini na ya kati ya nchi na ndo sehem ambapo maendeleo yapo with exception to Dar es salaam.:eyebrows:

Watu wenye elimu wangesheherekea Sikukuu zao kwa kunywa KINYESI na Damu??

Na mpaka leo wameshindwa kujua kuwa kwa nini mafundi viatu wengi mjini ni watu wa kaskazini??

Lbd walichonacho ambacho wengi wetu hatuna ni MENO MEUSI!
 
Chadema dharau itawaponza, mnawaona waTz wanaochagua CCM hawajitambui sio.....
 
sehemu kubwa za vijijini elimu ya urai haijaeleweka vema si kwa vijana,wazee na wanawake. wao waamini kuwa ccm ni kama mzazi wao aliye walea toka enzi hizo hivyo kumkataa sasa nisawa na kuikaribisha laana kwao. Wao hawani siasa kama fursa ya kutatua changamoto zao.
 
Watu wenye elimu wangesheherekea Sikukuu zao kwa kunywa KINYESI na Damu??

Na mpaka leo wameshindwa kujua kuwa kwa nini mafundi viatu wengi mjini ni watu wa kaskazini??

Lbd walichonacho ambacho wengi wetu hatuna ni MENO MEUSI!
Imeandikwa wapi watu wenye elimu wana style zao za kusherehekea? Hapo umepotoka mkuu unashindwa kutofautisha elimu na desturi ya mtu na utamaduni wake. Halafu unaposema mafundi viatu wengi ni watu wa kaskazini unatakiwa kuweka takwimu na sio unaongea kwa kuhisi, maana huu ni ulimwengu wa utandawazi watu wasio na takwimu kama wewe hawana nafasi. Suala la kuwa na meno meusi kwa watu wa kaskazini, kwanza naomba nikuambie sio watu wa sehemu zote halafu pia ungerudi darasani ukaasome kidogo masomo ya sayansi ili ujue ni kwanini watu wana meno meusi na sio kukurupuka tu kama ulivofanya. Tanzania yote inawakubali wa kaskazini, wewe utakua unayako binafsi sio siri mkuu. :loco:
 
Kawe ina maendeleo na wasomi kuliko sehemu yeyote ya jiji, walichagua upinzani. Mtu aliyeelemika haachi kufikiria namna ya kupata zaidi na zaidi hata na kwa kizazi chake. Asiye na elimu ili mradi ashibe leo mengineyo kila mtu anakuja na riziki yake.

Nafkiri wewe Dar unaiskia tu na kutembea Jimbo la Ilala unajua linaishia wapi.
Ulishawahi kujiuliza kuhusu Jimbo la Kinondoni?
 
sehemu kubwa za vijijini elimu ya urai haijaeleweka vema si kwa vijana,wazee na wanawake. wao waamini kuwa ccm ni kama mzazi wao aliye walea toka enzi hizo hivyo kumkataa sasa nisawa na kuikaribisha laana kwao. Wao hawani siasa kama fursa ya kutatua changamoto zao.

Mtaji wa CCM ni umaskini na ignorance ya watanzania
 
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.
 
si kila mapovu hutakatisha nguo ! PAMOJA NA KUMWAGA MAPOVU MITHILI YA MGONJWA WA KIFAFA LAKINI HUWEZI KUBADILI CHOCHOTE , UMASIKINI HUSABISHWA NA UJINGA NA BAADAYE HUZAA UOGA , VYOTE KWA PAMOJA NDIYO MTAJI MKUU WA CCM .
 
Nafkiri wewe Dar unaiskia tu na kutembea Jimbo la Ilala unajua linaishia wapi.
Ulishawahi kujiuliza kuhusu Jimbo la Kinondoni?

ilala wamejazana wahamiaji haramu , waHIndi na waarabu ambao mfumo wa ccm unawabeba mno , WENGINE NI WALE WENYE NYUMBA ZA URITHI AMBAO WALIKATAA SHULE , KINONDONI IMEJAA WATU WA SERIKALI NA WAUZA UNGA ( AMBAO NDIYO WACHANGIAJI WAKUU WA CHAMA ) , SASA UNACHOBISHA NI KIPI ? AU WEWE NDIYE MGENI ?
 
Maendeleo maana yake...Lishe nzuri,afya nzuri,makaazi masuri..uwezo mzuri wa kuchanganua mambo...CCM wanalijua hili!
 
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.

Wana CCM wote mnagongwa tigo natamani mfe mmoja mmoja hata kwa kugongwa na radi au gari.
 
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.

Magamba wote mnakatwa nyuma....
 
Wafuasi wa cdm ni wapumbavu kupindukia,tokeni na SACCOS yenu mfu ya mtei na mkweo mbowe.Na ww unayesema watu wa kz wanathaminika sana ni taila na limbukeni kweli, na anayewathamini ninyi labda mataila wenzenu wanaoiunga mkono SACCOS mfu ya mtei.

Magamba wote mnakatwa nyuma....mkafie mbali.....mapumbafuuu nyie
 
Watu wenye elimu wangesheherekea Sikukuu zao kwa kunywa KINYESI na Damu??

Na mpaka leo wameshindwa kujua kuwa kwa nini mafundi viatu wengi mjini ni watu wa kaskazini??

Lbd walichonacho ambacho wengi wetu hatuna ni MENO MEUSI!

ulilenga kuandika jinsi walivyo au ulilenga kutujulisha kazi wanayoifanya ?
 
Back
Top Bottom