Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,718
Ndo maana CCM wanachukia mikoa ya kaskazini, maana huko kuna watu wanaojitambua watu wasiohongeka kirahisi, watu wenye elimu ya kutosha. Ukichunguza kwa makini CCM inapendwa zaidi zaidi maeneo ya pwani, maeneo ya kusini na ya kati ya nchi na ndo sehem ambapo maendeleo yapo with exception to Dar es salaam.:eyebrows: