Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

sijawahi kuwa ccm ila sijafikiria kabisa kuwa chadema wahafidhina. kwa sababu nina akili na siwezi kuburuzwa kama nyie misukule ya kibavicha. nadhani umenisoma.

huwa sisomi post za kijinga , wewe ni kama umebahatika tu .
 
ni vizuri usiisome maana akili za kibavicha siku zote ni za kushikiwa. kwa kifupi wewe ni sawa na taburarasa. chadema ya wahafidhina inahitajika kuzimu, imependwa zaidi huko zaidi ya nyinyi mnavyoipenda. mungu wa kuzimu alitoa na sasa anatwaa. jina la huko kuzimu lihimidiwe. amen!
 
Kwa propaganda hizi utavuna kura za waislam, mmezoea kuwatumia waislam kwa staili hizi, mnawaona kama toilet paper

yaleyale umeamua kuwatukana waislam na kuwaita toilet paper ...

typical pro chadema
 
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

Ni kwa kuwa hao ndio mtaji wa Chama. Kwa kuwa wakipewa elfu mbili wako tayari kusema watampiga mtu wamlipe kwa kuwa elfu mbili ni nyingi sana kwao. kwa walioendelea huwezi kumpa rushwa ya elfu mbili akakupa kura lakini huko ambako hakuna maendeleo kabisa wakipewa tu kiasi hicho wanatoa kura. Hao ndio mtaji wa ushindi kwa CCM. Ndiyo sabau umaskini siyo adui wa Taifa tena.
 
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

binafsi naona hii kama ni falacy kwasababu kuna miji mkubwa pia ni ngome ya CCM kuna maeneo kama Tanga, pia Jiji kama la Dar es Salaam ni ngome ya CCM lakin kuna maeneo kama maswa au mbozi ambayo asilimia kubwa ni vijijini lakini wapo wapinzani.
 
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

Wengi wameaminishwa ni kuwa ni Mungu ndiye ameamua wawe hivyo kwa hiyo hata kile kidogo wakipatacho ni ccm ndiyo imewasaidia!Mtu anajiuliza iwapo mvua haijanyesha na akakosa chakula,kwa nini ailaumu ccm?Ndiyo maana hata wakipelekewa kofia na tshirt wanaona huo ndio upendo mkubwa sana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
ni ujinga wa watu wanaletewa mwanga wanakataa, kisa wamezoea giza,ndio kilichotokea kalenga,watu bado hawajitambui,nadhani shule pia ,au wamekunywa maji ya bendera na kujifanya hawanazo kichwani.

Shule gani mkuu?wasomi wengi wa Tanzania mbona ndio wap.umba.vu kabisa na wamejaa ccm na wengine wapiga debe wao vyuo vikuu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ukiipenda Nyinyiem umeukaribisha umaskini wa akili na Mali
 
Vijijin wana umasikin wa fikra ambal ndio tatizo kubwa lkn mjin huo umasikin siy mkubwa kam vijijin
 
Sababu vyama vingi vya upinzani vinaishia mijini tu na kurukaruka bungeni ili waonekane wamo ihali hawajui watu wasiokuwa na uwezo hao masikini hawawezi kumiliki hizo tv na kuwaona.
 
ni vizuri usiisome maana akili za kibavicha siku zote ni za kushikiwa. kwa kifupi wewe ni sawa na taburarasa. chadema ya wahafidhina inahitajika kuzimu, imependwa zaidi huko zaidi ya nyinyi mnavyoipenda. mungu wa kuzimu alitoa na sasa anatwaa. jina la huko kuzimu lihimidiwe. amen!

mapovu ya nini sasa ?
 
tetesi zinadokeza zaidi kwamba wananchi wataendelea kukandamizwa kwa kufanywa masikini zaidi ili waendelee kuwa mtaji wa chama chakavu !
 
ni vizuri usiisome maana akili za kibavicha siku zote ni za kushikiwa. kwa kifupi wewe ni sawa na taburarasa. chadema ya wahafidhina inahitajika kuzimu, imependwa zaidi huko zaidi ya nyinyi mnavyoipenda. mungu wa kuzimu alitoa na sasa anatwaa. jina la huko kuzimu lihimidiwe. amen!

Njoo kwenye hoja, kwa nini ccm inapendwa sana sehemu zisizoendelea mf kielimu, kiafya, kiuchumi nk?
 
ni vizuri usiisome maana akili za kibavicha siku zote ni za kushikiwa. kwa kifupi wewe ni sawa na taburarasa. chadema ya wahafidhina inahitajika kuzimu, imependwa zaidi huko zaidi ya nyinyi mnavyoipenda. mungu wa kuzimu alitoa na sasa anatwaa. jina la huko kuzimu lihimidiwe. amen!
Wewe huna akili na umelogwa na aliyekuloga aliachiwa laana sasa inakutafuna maana alishakufa. Go to hell
 
kwanini chadema inapendwa na wakristu na kaskazini sana...?

kwanini majority pro chadema ni anti muslims..?

Mkuu njiwa.

Hilo swali hakuna Pro-Chadema yeyote atakayejibu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa propaganda hizi utavuna kura za waislam, mmezoea kuwatumia waislam kwa staili hizi, mnawaona kama toilet paper
Ndugu zangu Waislam ebu wasomeni hawa Chadema matusi yao kwenu halafu wanataka muwapigie kura, watawapata Waislam wasiojitambua kama kina Mohamedi Mtoi unamtakania dini yake lakini anakufa na Mbowe.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?
Hivi majimbo walioshinda Chadema yana maendeleo gani umeishafika Maswa, Ukerewe, Karatu, Arumeru, Kigoma vijijini, Machame, Ubungo? teh teh teh.
 
Back
Top Bottom