Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

CCM wanahusika vipi na hii picha?

Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.
 
If you want to rule a nigga never give him/her education hence ukiangalia maeneo hayo muamko wa self awareness ni ndogo sn ila napata moyo kwa sasa Watz wameamka na mwaka 2015 hawatafanya makosa tena.
 
ccm.jpg

Maisha bora kwa kila Mtz!
 
Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.

Mambo ya uislamu yameingiaje hapa? cc: kahtaan
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA inapendwa zaidi sehemu ile ambayo elimu ya uraia ilifika mapema kwa mfano kaskazini. CDM inapendwa kwa sababu sera zake ni nzuri na zinatekelezeka kama wakiingia madarakani.
Utaona wakristu wengi wana elimu ya uraia wa kutosha wanajua ubwabwa na tshirt haviwezi kuwaletea tofauti ktk maisha yao ya kila siku.
Safu ya uongozi tu ndio tatizo la CDM hasa wakati wa kutoa maamuzi jinsi ya kueneza sera zao. Nyerere alifanya kazi kubwa sana katika mazingira magumu sana kueneza sera za TAA, TANU na CCM. CDM tuige mfano wake kuibwaga CCM itakuwa rahisi! Sera ya JK ya maisha bora kwa kila mTZ haitekelezeki na amebakiza mwaka mmoja na nusu tu kumaliza ngwe yake. Pamoja na kujitahidi kote elimu imeshuka sana mpaka inaletwa Div 5, huduma ya afya imeshuka sana na sasa wanataka kutuletea katiba ya kuwalinda wakitoka madarakani.
 
wapinzani tunatakiwa tuwe kitu kimoja na sio kubaguana. ndo maana leo naichukia chadema ya wahafidhina real kutoka moyoni kwa dhambi hii waliyoifanya. popote pale duniani ubaguzi haujawahi leta tija zaidi ya mifarakano.
na tatizo lenu kubwa mnajiona sana kuwa nyie ndo kila kitu, sasa ni nani huyo mjinga/-------- anayeweza kuwaamini. hebu jiulize, kusafirisha watu wakulinda kura kutoka arusha mpaka iringa. hivi wanairinga wanajisikiaje? kama hata hamuwaamini wao wenyewe kulinda kura walizopiga wao watawaamini vipi nyie msiowaamini? fikiria na kwa pamoja tukatae ubaguzi.

Mkuu hilo tatizo na kamwe hawatasonga(ukaskazini) rck cty tumemewasoma hawapati tena.
 
Kabla cjatoa jibu langu nikuulize kwa nn cdm inapendwa na wahuni na vijana wasiokuwa na nidhamu na wapenda viroba?
 
Ccm pekee ndo iliyokuwepo vijijini, viongozi wa vyama vya upinzani kutwa wako hapa jf
 
Kama wasemavyo watu kuwa a picture says a lot. Unajuwa CCM wao wana wazidi ujanja Chadema kwa mbinu kama hizi. Walalahoi siku zote kwao chakula ni issue na CCM wanajuwa kuwa vijijini watu wana njaa hivyo njia ya uhakika ya kuwarubuni ni kuwapikia wali na maharage yaliyooza. Mlalahoi na vitu vya dezo ni sawa na muislam na wali.

...Au mkiristo na gongo (damu ya yesu).
 
Nilisoma kwa makini nikidhani ni mtu makini kumbe Abunuasi!!
Walewale, mtalaaniwa na Mungu kwa wizi na kuwafanya Watanzania matahila!!
 
Mkuu @ Safari'ni Safari hii ni laana, si ajabu hapa ni Chalinze, bado wanachagua MaCCM!!
Elimu ya uraia muhimu jamani, watu wajitambue!!
Wataongwa ubwabwa hadi lini??
 
Wewe huna akili na umelogwa na aliyekuloga aliachiwa laana sasa inakutafuna maana alishakufa. Go to hell
huwezi kuitenganisha bavicha na matusi. they are synonymous. period. and you are very vivid evidence.
 
Njoo kwenye hoja, kwa nini ccm inapendwa sana sehemu zisizoendelea mf kielimu, kiafya, kiuchumi nk?
mkuu analysis yako inamashaka. sio kweli ccm inapendwa na sehemu zote zenye shida. mfano huko kusini walikataliwa siku nyingi na CUF ina nguvu sana huko ial wanashinda kwa hila kama sio wizi. hata huko kilimanjaro chadema bado wamezidiwa tu na ccm kwa idadi ya wabunge. mfano, ndesa yupo moshi mjini lakini vijijini ni mbunge wa ccm. kama huijui moshi unaweza kusema huko ni vijijini lakini kwa sisi tuliowahi kuishi huko ni hapo hapo moshi. au leo hii unataka kuniambia kuwa pale mbulu kwa akunaay wameelimika sana? au sehemu watakapowapigia chadema ndo kigezo cha kuelemika? hueleweki mkuu na hii analysis yenu uchwara.
 
Kwasababu chama kima wachawi wengi,hivyo huloga akili za watu,mfano kingunge,mwenyekiti wa wachawi wa ccm.
 
Nilisoma kwa makini nikidhani ni mtu makini kumbe Abunuasi!!
Walewale, mtalaaniwa na Mungu kwa wizi na kuwafanya Watanzania matahila!!
unajua hawa wapuuzi tangia washindwe kule kalenga pamoja na kupeleka chopa ni kama vile wamechanganyikiwa. tunajua walikuwa na matarajio makubwa sana na jimbo la kalenga, walichofanya wanakalenga kimewashangaza. kimewashangaza kwa sababu ya aina ya watu walioko huko. Na wao wamewashitukia kuwa hawa jamaa ni wajasiria mali tu hamna lolote (many thanks kwa wanakalenga). ukiona hata michango yao baada ya ule uchaguzi ni kama vile wamevurugwa vile. na wengine wamepotea kabisa, hata ule wimbo wao wakuibiwa kuwa haupo tena. siunaona hata zile mbwembwe hazipo tena. unasikia chochote hata kuhusu chalinze? wanajiuliza kama kalenga ilikuwa vile je huko chalinze ambapo hata wangeshinda kalenga bado ingekuwa ngumu itakuwaje? pia na aina ya jamii iliyopo pale? watanzania wamewashitukia kuwa washikaji ni walaghai tu.
kwa kifupi nawaona kama wapuuzi fulani.
 
Back
Top Bottom