ismail kemu
New Member
- Dec 30, 2013
- 1
- 0
CCM wanahusika vipi na hii picha?
CCM wanahusika vipi na hii picha?
Duh hii kali Dar Ilala CCM, Morogoro CCM na sehemu nyingi tu. Halafu wewe ni mkenya. Kichwa cha thread kimekutambulisha. Operation kimbunga unakuhusu.
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?
Nimetaka nicheke picha za masinia ya wali lakini nikajiuliza. Hivi hizo sehemu je wanajua maswala ya EPA, Richmond, melemeta nk. Hembu niambie i kuna radio political talk show ngapi zinazofika vijijini. Sehemu hizo ni wali ndio unakupatia kura