Nani aende jehanamu au peponi, ni mamlaka yake Mungu wetu, na hakuna ajuaye nani ataenda wapi. Lakini ukweli ni kwamba marehemu hakuwa na tofauti na mfalme Herode aliyewaangamiza watoto wote wa kiume waliokadiriwa kuwa na umri unaofanana na Kristo Masiha, kwa hofu ya kupoteza ufalme.
Na wengi, hata wale ambao wakati wa uhai wake walifanya naye kazi na kumsifia sana, 2025 ili wapate kura, watamponda sana marehemu kama vile hawakuwahi kumpongeza wakati wa utawala wake.Mwamba ikipita siku hajaandikwa walamba asali haishuki tumboni.
Mwamba alikuwa anataka watu waendelee kupambana na kuchapa kazi.
Wavivu wakaona siasa ipite na hadi sasa kila wanachofanya wanataka kujilinganisha na mwamba.
Bado sanaaa.. 2025 ukiutaka urais lazima utaji jina la mwamba ndipo upate kura.
Acha usukuma gang na utumie akili tu za kwaida, hakuna nchi ambayo hakuna masikini ila kuwa masikini siyo jambo la kujivunia kama unavyofanya. Huo umasikini wenu aliwatoa huko au bado mko huko?Usisahau na kina mama wajawazito na masikini ambao hawakutozwa tozo pamoja na machinga na watanzania kiujumla walionufaika na miundombinu bora pamoja na matumizi mazuri ya fedha zao za kodi! Hao pia walikuwa watu wake!
Kama ndiyo hivi, nawahakikishia Hayati Magufuli ataendelea kutrend kwa muda mrefu sana, maana haipiti siku bila kuanzishiwa post mpya!
Una matatizo ya akili.
Wewe kila kitu unawaza vyeti feki tu. Huyo mwamba wako alikuwa na vyeti fake na ndiyo chanzo cha kifo cha saa8. Rais mwovu namba moja ni Jiwe, Rais namba moja kupendwa na wajinga ni Jiwe piaVyeti fake vikisikia Mwamba anabagazwa vinatoka nduki kujifariji
Nitajie mradi mmoja tu mama yenu alioufanya nazidi ya ile filamu yake isiyokua na muelekeo... Magu ndiye rais Bora so far Hadi Sasa tangu Tanzania ianze
Ulitaka awaongopee, umejenga nyumba. Nenda kaikatie bima. Yaje mafuriko, tetemeko la ardhi, iungue moto bima ikulipe.
Huna bima ya nyumba kuwa tayari kuishi na risks za ‘natural disasters’.
Magufuli alikuwa mkweli hakuna longolongo. Wenye roho mbaya ni mijizi isiyo na aibu wala huruma.
Upande wangu namtaja kama Rais mwana Mageuzi wa karne hii.
Katufungua akili ya kutaka maendeleo kwa kasi sana. Kazi kazi.
Kwani we umenielewa vp mkuu?Rudisha picha ya mwenda zake mara hii unataka kuisahau na kuipotezea?
Ila nyie mnapenda sana kukuza mambo.Hakuwa binadamu wa kawaida
Na kwa hakika asilimia kubwa humsingizia tu shetani.Siyo jambo la ajabu kutrend kila siku.
Hivi unadhani kuna dakika inapita bila ya shetani kutajwa? Watu wanaomba na kumjemea shetani wakati wote.
Wengine hufanya uasi kwa makusudi, lakini wakibanwa, wanapoomba msamaha wanasema shetani aliwapitia.
Duuuuuu. Tuje kwenye kimatumbi sasaMagufuli in reality was the man of match, he speaking black and white of what he can do, and for what can't no matter what.
This was not a man who fought for populists as to be agreeable to majority for justify elusions.
He wasn't believe in political scams, he was believe in "one plus one is equal to two" , and not "it depends".
I know those who try to smear him any mud on him, they end up to be outsmarted.
Mimi nadhani ni tatizo la makuzi zaidi. Jamaa inaonekana alikulia kwenye mazingira ''harsh'' sana ambayo yalimfanya awe katili.Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.
Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.
Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.
Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
View attachment 2478896
Kuwa katili ni kukosa utu na si ubinadamu.Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
Tofautisha hapa ubinadamu na utu Vs unyama na ukatili.Mimi nadhani ni tatizo la makuzi zaidi. Jamaa inaonekana alikulia kwenye mazingira ''harsh'' sana ambayo yalimfanya awe katili.