Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Kumbuka hata michango yetu tuliyowachangia ndugu zetu nayo aliiteka
 
Badala ya kukoncentrate kuelezea mafuriko na huo msaada wewe unaelekeza nguvu zako kumjadili marehemu
 
Nafikiri alishapata malipo ya ukatili wake au vp?
 
Hakuwa na akili sawasawa.
 
Magufuli alikuwa mshenzi tu bana, mazuri gani alifanya? Mtu ambaye anasema nitawafanya matajiri waishi kama mashetani anaweza akawa na zuri?

Ningemuelewa kama angesema "Nitawafanya maskini waishi kama matajiri"

Hivi kweli inaingia akilini Magufuli anaiba mpaka uchaguzi wa Serikali za mitaa? Kweli hayo ndiyo mazuri? Acheni mzaha, yule ilikuwa lazima aage dunia tu kwa uovu wake
 
Kwa hiyo umegundua kumshambulia Magufuli na kumsifu Mama kuna fursa sikiliza we mpumbavu fanya ujasiriamali achana na huu usiokuwa na uhakika.
 
Umeelewa mada lakini? Kwanini watu wamechanga pesa kwa ajili ya waliopata changamoto iliyotokea nje ya uwezo wao lakini pesa zilizochangwa akala na kashfa akawamwagia, ukizingatia yeye ni chief comforter?
Kwani pesa ilienda wapi? Hujaona huduma za kijamii zikiimalika.?

Miundombinu ililekebishwa mara Moja.
 

He was demonized right from the day he was born.
 
Kakuachia shahawa ambayo imeshapata yai ndani yako ndio maana humsahau...
 
Ukatili ulitokea kwa sababu kuu kuwa mkoa ule serikali kwa ujumla huwa haiupendi kabisaa kutonana na kukaliwa watu wabishi. Mkoa umekumbwa majanga mengi sana nadhani ndio unaongoza kwa majanga. Tangu kuwepo kwa marumbano ya kisiasa toka enzi za Nyerere mkoa huu ulichukiwa kila mtu. Angalau kwa sasa kuna mabadiriko sana. Watu wameforciwa kupenda wahaya kwa sababu hawabadiriki na hamna jinsi ya kuwabadiri. Fursa za ajira nchini zilivyofinywa wahaya wakatafutiana wengi kazi ulaya. Kwa sasa serikali na watakwimu wao wa kiswahili wanapiga promo kwamba kagera ndio ya mwisho kwa watu wenye kipato cha chini. Wao wanasema sawa tu tuendelee. Maendeleo ya kule ni kimya kimya wakija kushutuka imepaa mara dufu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…