Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

Nikishakupa utafanya nini ewe msukule?

Huyo mwizi wa mitihani atatetewa na mjinga kama wewe tu, hawezi kuwa mwizi wa makaratasi ya mitihani akaacha kuwa mwizi wa rasilimali za taifa, never.
Sitaki maneno tupe ushahidi wa upigaji wake! Vinginevyo wewe ni vuvuzela tu
 
Usijifanye huelewi. Watu hawana imani na januari makamba kwani alimkashifu na kumpinga magufuli. Ujue umma wa wananchi walimpenda sana na kuamini uongozi wa magufuli. Kwa hivyo mtu yeyote aliyeonyesha kumchukia magufuli lazima awe matatani na umma. Mama aliwaudhi wengi kumuweka makamba huku akijidai yeye na magufuli ni kitu kimoja. Watu wanaamini makamba ni mpigaji maana yeye na rafiki yake nappe wapo kwenye orodha ya watu waliopora mali za chama. Pia makamba wala hana weledi wa kuongoza wizara nyeti kama nishati.
 
kina makamba na nape mnabadilishana tu ID HUMU..nani asiyejua january ndo KIGOGO mjanja mjanja anayecheza na media lakini kinachofanikiwa hamna
 
Mabadiliko yawe chanya! Hamna mtu atakuwa na tatizo nae kabisa...Sio matatizo yanaongezeka halafu unataka asiambiwe huo ni uzwazwa
 
kina makamba na nape mnabadilishana tu ID HUMU..nani asiyejua january ndo KIGOGO mjanja mjanja anayecheza na media lakini kinachofanikiwa hamna
Achana na page za kupika majungu bro hazibabilishi chochote kwenye mifumo ya uwajibikaji wa nchi yetu
 
Hivi nyie jamaa huwa mna ubongo kweli kama binadamu au mna matope?

Jamaa amewekwa pale kimkakati na kufanikisha mishe za kifisadi! Haiingii akilini eti mtu akodishe system kwa 70 billions. Hilo linatosha tu kuona msimamizi wa wizara hayupo kulinda maslahi ya Wizara.

Ndio yale yale, hela unayotafta kwa jasho huwezi kwenda kuspendi mshahara mzima kwa starehe ikiwa majukumu ni mengi yanahitaji fedha. We unaweza funga CCTV kamera za million 500 kamera 3 ilihali zipo za laki 8?

Ila hela ikiwa hutoi wewe utafunga za mil.500 kirahisi ila hela ikiwa yako huwezi kubali kufunga zaidi ya za laki 8!
 
Uongo mtupu, mara matengenezo yalikuwa hayajafanyiwa kwa muda mrefu, jana tena tunamuona anakagua mito na mabonde kuangalia maji..

Tuamini lipi sasa kati ya mitambo kutofanyiwa ukarabati ama sababu ya upungufu wa maji.?
Wewe tupe ukweli wako na ushahidi wako
 
Wewe tupe ukweli wako na ushahidi wako
Ukweli ni kwamba JM ni mpigaji tu, umejaza watu mitandaoni wa kumtetea na kupamba lakini hamna kitu.

Makamba ilibidi apelekwe wizara ya uvuvi huko kama kungekuwa na ulazima wa kupewa uwaziri sio Wizara nyeti na uti wa mgongo wa Taifa kama Nishati
 
Hakuna anayemuogopa ila yeye haaminiki na hana uwezo wowote zaidi ya kubebwa na jina la baba yake.
Tuambie wewe mleta uzi,huyu jamaa amekuwa Mbunge wa miaka mingi amefanya kitu gani Cha maana jimboni kwake Bumbuli?

Hofu iliyopo ni kuwa haaminiki tena, miezi michache tu ameshatoa matamko ya uongouongo tu.

1.Umeme ukikatika natumbua mtu,ndo umeme ukaanza kukatika kwa Kasi ya radi,hakuna aliyetumbuliwa.
2.Umeme kukatika ni kukosekana kwa scheduled maintenance enzi za Mwendazake,huku watu wakiwa na maswali kichwani, akabadilisha gia angani tena eti kumbe ni maji kupungua😂😂😂😂.

Hili likiwa bichi akaibuka na la crane za kukodisha 😂😂😂😂

Mara tena baada ya siku mbili atatoa suluhisho la kudumu kukatika kwa umeme🤣🤣🤣wakati wakiwa na Kikwete wote Ikulu walishindwa kuleta suluhisho eti Leo ana suluhisho🤣🤣
namukumbusha tu hiyo siku ya pili ni kesho.
 
Wewe ni sehemu ndogo sana kwenye taifa lenye watu million sitini wenye akili kama wewe au zaidi yako. Wewe endelea kupika majingu tu kuona wenzako wajinga kumbe huna lolote weka hapa plotting scheme ya kumeweka makamba kufanya ufisadi, au kulinda ufisadi. Makamba kama waziri anawajibika kwa Rais unataka kesama mkuu wa nchi ni corrupt. Take care bro Tanzania niyetu wote
 
Ni yenu wezi sio wazalendo tunaokatwa tozo ambazo hatuelewi mnazifanyia nini maana bado mnakopa kwa mgongo wa kujenga madarasa na hospitali
 
Ndio ile nyerere alisema unatoa dhahabu kwa mawe. Hawa kina january wanapapatikia chochote toka nje kwa kujua kuna ulaji. Walaaniwe
 
Ni yenu wezi sio wazalendo tunaokatwa tozo ambazo hatuelewi mnazifanyia nini maana bado mnakopa kwa mgongo wa kujenga madarasa na hospitali
Usiishi kwa kuwanyoshea watu vidole sio njia sahihi ya kujenga, nchi yetu nikubwa sana kuliko unavyojua wewe. Tanzania tunaishi na mawazo ya kupenda kuhudumiwa kila kitu inafanya serikalii hivyo ni vema kila mtanzania mzalendo ajisikie fahari kulichangia taifa lake. Kama kuna flauding kuna mamlaka zinawajibika pia wananchi wanapaswa kuwauliza viongozi wao kama madiwani, wabunge wao kupata mrejesho. Kuwa matured kujenga hoja, kutoa maoni, kuelimisha au kuleta ripoti ya utafiti kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…