Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

Kuchangia sio tatizo! Tupeni mpango kazi na kuwe na transprency kinachoingia kila siku ni kiasi gani na kinatumikaje mwisho wa siku!

Mbona kwenye harusi hela zinachangwa na mwisho zinatumika kama ilivyoainishwa kwenye pdf?
 
Tatizo nyota....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama CAG alivyotolewa mkuku kwa kuhoji 1.5 T , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Maisha yanakasi sana , kuweni watulivu mwacheni kijana apige kazi. Nasema uwongo ndugu zangu..
 
Kama CAG alivyotolewa mkuku kwa kuhoji 1.5 T , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Maisha yanakasi sana , kuweni watulivu mwacheni kijana apige kazi. Nasema uwongo ndugu zangu..
Hahahahahahah alikanyaga waya wa live😅 kikaumana!

Iba ila hakikisha raia hawanung’uniki yani! Ndicho alichofanya JPM ila ukiingia anga zake anakushaya.
 
Kuchangia sio tatizo! Tupeni mpango kazi na kuwe na transprency kinachoingia kila siku ni kiasi gani na kinatumikaje mwisho wa siku!

Mbona kwenye harusi hela zinachangwa na mwisho zinatumika kama ilivyoainishwa kwenye pdf?
Transparency is virtue, mimi sio mnafiki nasema ukweli nchi yetu haina mazingira mazuri ya uwazi hilo ni tatizo hawa kwenye matumizi ya fedha za umma. Tatizo brother nchi yetu ina mifumo mibaya uwajibikaji viongozi wafanya wanavyojisikia, hata vyombo vya habari ambavyo vinadumisha uwazi uhuru wao mdogo vinaiishia kujikombo tu
 
Mwamba sina imani nae tu personaly
Itabidi tu usiwe nayo kama baadhi walivyokuwa wamekosa imani na mwendazake...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] vumilia tu.
 
Kama CAG alivyotolewa mkuku kwa kuhoji 1.5 T , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Maisha yanakasi sana , kuweni watulivu mwacheni kijana apige kazi. Nasema uwongo ndugu zangu..
CAG aligusa kwenye kidonda
 
Wanapatwa na hofu gani? Kupigwa au?
 
Yeah hili ndio mimi nina tatizo nalo, kuchangia maendeleo si tatizo kabisa.

Shida ni kuchanga halafu anatokea boya mmoja anatunga kitu chake ama mradi ili serikali iingize hela pasipo na tija ili tu sehemu ya ile hela aiibe! Yani waziri anajigeuza dalali kwenye mradi anakunja % yake flani.
 
Hahahahahahah alikanyaga waya wa live[emoji28] kikaumana!

Iba ila hakikisha raia hawanung’uniki yani! Ndicho alichofanya JPM ila ukiingia anga zake anakushaya.
Alikuwa mpigaji asieacha mifupa , CAG akatufungua macho.. shida iko kwa mazezeta aliotuachia.
 
Hivi mleta maada nikuulize swali, mtaani kwenu kuna kibaka maaarufu na hodari anagopwa na kila mtu leo usikie yule kibaka kazungukia maeneo ya nyumbani kwako je utakuwa na amani tena?
 
Thtrat pekee kwenye Urais
 
CCM hawanaga shukrani, January si wa kuchezea, anajua siri nyingi sana za nchi, wana CCM wenzangu hamkumbuki alifanya kazi kubwa sana kwenye uchguzi wa 2015 ndani ya chumba cha kuhesabia kura ? Lowassa alikuwa katukamata kweli kweli.

Ndugu January siku wakikuudhi zaidi wewe wabwagie data zote watulie. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…