Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Kaka ukiwa jikoni penye harufu nzuri ya nyama kukwepa kudokoa unaitaji neema ya Mungu. Wengi tukiwa wadogo kizazi cha kuanzia miaka 89 mpaka tisini tumedokoa sana nyama ukimlia timing mama. Haya mambo nimegumu Sana yanaitaji uzalendo wa hali juu kabisaYeah hili ndio mimi nina tatizo nalo, kuchangia maendeleo si tatizo kabisa.
Shida ni kuchanga halafu anatokea boya mmoja anatunga kitu chake ama mradi ili serikali iingize hela pasipo na tija ili tu sehemu ya ile hela aiibe! Yani waziri anajigeuza dalali kwenye mradi anakunja % yake flani.
Unadokoa nyama af unaipoozea mdomoni😅Kaka ukiwa jikoni penye harufu nzuri ya nyama kukwepa kudokoa unaitaji neema ya Mungu. Wengi tukiwa wadogo kizazi cha kuanzia miaka 89 mpaka tisini tumedokoa sana nyama ukimlia timing mama. Haya mambo nimegumu Sana yanaitaji uzalendo wa hali juu kabisa
MTI WENYE MATUNDA...
Siempre JMT
Wakumbuke pia kuwa aliingia kwenye top 3 au 5 kama sijakosea kwenye kinyang'anyiro cha kuteuliwa kugombea urais wa Tanzania kupitia CCM mwaka 2015. Wabaya wake wanaona jamaa waliyedhani amefunikwa na labda kufukiwa kwa miaka 5, sasa ameibuka na anakuja kwa kasi!!! Lazima wapate kiwewe.Mti wenye matunda...
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Watch Clouds 360 Degrees Live , January Makamba yuko Live. January Makamba, akiongea, anaonekana yuko very intelligent upstairs kwa sababu anaonyesha ana think kabla ya kuongea. Kuna baadhi ya viongozi wetu, I doubts kama wana think kabla hawajaongea ndio maana kiwango cha upayukaji kwa awamu...www.jamiiforums.com
PJanuary Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuangalia Top Ten ya Most Interactive Politicians in Social Media. Mhe. January Makamba ndio amekwaa No. 1!. Hii ni kwa mujibu wa makala ya Top Ten iliyotangazwa na Clouds TV. Wengine na positions zao ni kama ifuatavyo... 1. January Makamba 2. Zitto Zuberi...www.jamiiforums.com
Watu wanaichukia CCM na watu wake.Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu wanataka mambo yabadilike ki miujiza bila ya kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko.
Hii inapelekea mimi kujiuliza, hivi hawa watu ni kweli wanachukia utendaji wake au kuna jingine?
Nchi Sasa hivi ina ukame maeneo mengi nchini huo ndio ukweli. Lakini pia tambua kuwa makamba ni mdogo zaidi ya Tanzania kama kuna mkataba mbovu ameingia atawajiba bungeni, ni kama Kuna flauding kwenye mikataba wizara yake imeingia mamlaka za uteuzi zitawajibika kwa viongozi wahusika. Tabia ya kupakana matope inaonesha Watanzania tuna roho za kichawiKupewa wizara tu ukatangazwa ukame, alivyona haraka keshaingia mkataba na wahindi wa dola 30m na karibu Kila kitu kinaharibika mkononi mwake nyie mnaomtetea endeleeni maana matumbo yenu ni ya maana kuliko Tanzania.
Nkerebuke,habari za risk analysis unazijua?Nchi Sasa hivi ina ukame maeneo mengi nchini huo ndio ukweli. Lakini pia tambua kuwa makamba ni mdogo zaidi ya Tanzania kama kuna mkataba mbovu ameingia atawajiba bungeni, ni kama Kuna flauding kwenye mikataba wizara yake imeingia mamlaka za uteuzi zitawajibika kwa viongozi wahusika. Tabia ya kupakana matope inaonesha Watanzania tuna roho za kichawi
Ndio nafahamu vizuri tu kama hasa ni kipengere muhimu Sana kwenye management, au kwenye feasibility study ya mladi flani. Risk analysis inafanyika ili kupunguza risk ambazo zinaweza kujitekeza katikati ya mradi flani hata mikataba kwa mfano mkataba wanaosema ameingia makamba badala ya kusema wizara ya nishati ambayo Waziri ni sehemu yake. Brother usiwe framed na chuki wakati una uelewa mzuri mkataba haingii mtu ila niwizara husika na mwanasheria mkuu wa serikalii ana husika kama risk analysis inafanyika na team ya wanazuoni wenye weledi pingine mtu kama makamba mwenye elimu ya diplomasia anapewa tu reportNkerebuke,habari za risk analysis unazijua?
ndo ukamwambie sana boss wenu...mtu kakaa mwezi haujaisha.,.,,anmevuruga kila kitu kwenye taasisi..na hapo lengo lake kubwa ni kutudalalia tu umeme wa jua na upepo tuuziwe kwa dollar hamna jipya..chezea safasi za ulayaAchana na page za kupika majungu bro hazibabilishi chochote kwenye mifumo ya uwajibikaji wa nchi yetu
changamoto ya makamba hana tofauti ya sirjeff.. ana minions wengi sana ambao wako tayari kusema lolote ila jamaa yao aonekane Mungu mtu..patheticKupewa wizara tu ukatangazwa ukame, alivyona haraka keshaingia mkataba na wahindi wa dola 30m na karibu Kila kitu kinaharibika mkononi mwake nyie mnaomtetea endeleeni maana matumbo yenu ni ya maana kuliko Tanzania.
Kwanza una adabu kwenye majadiliano hilo nimethibitisha,kilichopo siyo chuki Ila historia ya makamba ukijumlisha na kinachoendelea leo,umeme unakatika Kila Mara kiasi unakuwa siyo wa uhakika na taarifa yake ya ukame unasababisha haya unayoyasikia.Ndio nafahamu vizuri tu kama hasa ni kipengere muhimu Sana kwenye management, au kwenye feasibility study ya mladi flani. Risk analysis inafanyika ili kupunguza risk ambazo zinaweza kujitekeza katikati ya mradi flani hata mikataba kwa mfano mkataba wanaosema ameingia makamba badala ya kusema wizara ya nishati ambayo Waziri ni sehemu yake. Brother usiwe framed na chuki wakati una uelewa mzuri mkataba haingii mtu ila niwizara husika na mwanasheria mkuu wa serikalii ana husika kama risk analysis inafanyika na team ya wanazuoni wenye weledi pingine mtu kama makamba mwenye elimu ya diplomasia anapewa tu report
Bado unaendeleza majungu as if kuna mtu anaekutuma. Mimi simtetei makamba coz yeye ni sehemu ndogo tu ya wazara ya nishati. Ukifata seniority utakuta mkuu hapa ni Rais ndio boss wake. Usipayuke leta overall performance ya wizara ya nishati nchi nzima sio kumuhukumu mtoto wa mwenzio bila vigezo. Mimi nipo Dodoma umeme tuna enjoy mda wote hakuna mgao wala nini. Kaka kumbuka mwaka 2017 paliwahi tokea shida ya umeme nchini mbona mnasahau mapema Sana. Makamba ni mwanasiasa tu hana utaaramu wowote kuhusu nishati mengine tutamuonea tundo ukamwambie sana boss wenu...mtu kakaa mwezi haujaisha.,.,,anmevuruga kila kitu kwenye taasisi..na hapo lengo lake kubwa ni kutudalalia tu umeme wa jua na upepo tuuziwe kwa dollar hamna jipya..chezea safasi za ulaya
Kama umekuja humu kumkuwadia, kamwambie huyo Waziri wako asitukatie umeme kwa kisingizio cha regular maintenance kumbe ni Wakala wa wauzs majenereta, ZUZU huyoKwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu wanataka mambo yabadilike ki miujiza bila ya kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko.
Hii inapelekea mimi kujiuliza, hivi hawa watu ni kweli wanachukia utendaji wake au kuna jingine?
unazunguka sana kumsafisha mtu..kwanini tusimnyooshee mikono innocent bashungwa au wengine..so kua kwako Dodoma ndo inatumika kujudge nchi nzima..unajua mgao unaoendelea sehem nyengine za nchi au ndo yale ya maria antoinete..mmezoea kula keki mnashangaa mikate inakosekanaje...Kama unaijua historia ya hiyo wizara toka kipindi cha kikwete hadi sasa wala huhitaji kaza shingo..unanchoshaBado unaendeleza majungu as if kuna mtu anaekutuma. Mimi simtetei makamba coz yeye ni sehemu ndogo tu ya wazara ya nishati. Ukifata seniority utakuta mkuu hapa ni Rais ndio boss wake. Usipayuke leta overall performance ya wizara ya nishati nchi nzima sio kumuhukumu mtoto wa mwenzio bila vigezo. Mimi nipo Dodoma umeme tuna enjoy mda wote hakuna mgao wala nini. Kaka kumbuka mwaka 2017 paliwahi tokea shida ya umeme nchini mbona mnasahau mapema Sana. Makamba ni mwanasiasa tu hana utaaramu wowote kuhusu nishati mengine tutamuonea tu
Nikweli wakati mwingine wanasiasa wetu hawaaminiki na taarifa za ajabu. Historia mbaya ya makamba ni kuwa kundi ndani chama chake enzi za uchaguzi, na ndoto yake ya urais kama mwigulu lazima wapigwe majungu kwekweli. Kingine tuhuma za kumuhujumu Rais alietutoka ilichafua political character yake. Pia tatizo lingine la makamba hayuko scientific hasa alipo rusha tuhuma kuwa tanesco walifanya kazi bila maintenance kisa kuhofia kufukuzwa hapa nilimdharau kufukua makabuli badala ya kutatua tatizo. Mimi napenda mijadala ambayo ni objective inaleta usawa wa hoja zaidi ya kuleta makundi kama hali inavyojionesha sasa hiviKwanza una adabu kwenye majadiliano hilo nimethibitisha,kilichopo siyo chuki Ila historia ya makamba ukijumlisha na kinachoendelea leo,umeme unakatika Kila Mara kiasi unakuwa siyo wa uhakika na taarifa yake ya ukame unasababisha haya unayoyasikia.
Unachosema unaweza kuwa sahihi kuliko mimi lakini bro nataka ujue kuwa nishati ndio roho ya nchi na wala hili sio suala binafsi la makamba ila ni Nchi nzima. Nachelewa kuamini pingine unaitaji neema ya Mungu kuamini kuwa mchawi wa wizara nimakamba, kama Kuna hujuma zimefanyika kufitini uzalishaji wa umeme nchini anaewajibika ni Rais ambaye ndio mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama ambao niwajumbe. Hili suala kaka sio issue binafsi ya makamba linagusa mamlaka zote za ulinzi nchi na taasisi mkuu. Kumbuka mtendaji mkuu wa wizara by professional ni katibu mkuu. Kuna mengi ya kujiuliza tusimbebeshi zigo la mavi makamba peke yakeunazunguka sana kumsafisha mtu..kwanini tusimnyooshee mikono innocent bashungwa au wengine..so kua kwako Dodoma ndo inatumika kujudge nchi nzima..unajua mgao unaoendelea sehem nyengine za nchi au ndo yale ya maria antoinete..mmezoea kula keki mnashangaa mikate inakosekanaje...Kama unaijua historia ya hiyo wizara toka kipindi cha kikwete hadi sasa wala huhitaji kaza shingo..unanchosha
Lameck knows better .. Waswahel wanasema adui yako mwombee njaa[emoji3]Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.
Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu wanataka mambo yabadilike ki miujiza bila ya kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko.
Hii inapelekea mimi kujiuliza, hivi hawa watu ni kweli wanachukia utendaji wake au kuna jingine?