Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikonge usipime kwa koboko,jioni wanapiga tu makeleleMapori yapo pia kuna black mamba za kutosha
😂😂😂🤣🤣😂😂Sikonge usipime kwa koboko,jioni wanapiga tu makelele
Haa Hiyo Unayoisema Ilitokea Wakati US President Obama Anakuja TanzaniaUliza kama kuna abilia mwenye mguu wa kuku ili muendelee na safari. Likitokea lolote atawekwa front line
Kwa nini polisi wasiescort? Ndo kazi yao hiyo.Usalama Kwanza
😂😂😂 raha sana safarini upande kwenye gari na hao watu halafu mkutane na trafki mjuajiHaa Hiyo Unayoisema Ilitokea Wakati US President Obama Anakuja Tanzania
Mimi Nilikuwa Natokea Kigoma Kwenda Dar Es Salaam Enzi Za Sumry Bus
Kutoka Kigoma Nusu Wamepanda Raia Nusu Wanajeshi Na Mijegeje
Kwenda Kuongeza Nguvu Ujio Wa Obama
Bus Ilikuwa Lazima Ilale Kibaigwa, Gairo, Dumila Ama Morogoro
Hiyo Siku Ilikuwa Asubuhi,Usiku Wote Mpaka Alfajiri Dar Hakuna Kizuizi Watu Wana Mijegeje Tu. Drivers Wanaambiwa Endesha Mpaka Mwisho
😂😂😂 raha sana safarini upande kwenye gari na hao watu halafu mkutane na trafki mjuaji
....Kwa hiyo JWTZ yetu Isiyokuwa na Vita Iko wapi???...Kwanza kabisa mimi sio na sifanyi kazi LATRA.
Pili kwa experience yangu hayo mapori wanayoyasema ni kweli yapo lakini mbaya zaidi humo maporini hakuna network ya mtandao wowote inakamata na hakuna makazi so kwa usiku emergency ikitokea like gari imepata breakdown humo it's you on your own hakuna msaada mtapata labda itokee kuna gari nyingine ipite iwape msaada ila there is no way mtafanya mawasiliano hasa ya simu so possibly wanazuia kwa sababu hio maana pia kuna wanyama pori humo.
Mbeya wamefyeka mahindi eti kosa kuna vibaka wanajificha humoKwa hiyo miaka 60 bado hatuwezi kusafiri usiku kweli? Yaani vibaka wanatupangia maisha kweli? Ina maana hatuwezi hata kutumia JW TZ watusaidie kudhibiti hawa vibaka??
Hilo pori nalo lifyekwe kwa usalama zaidiMbeya wamefyeka mahindi eti kosa kuna vibaka wanajificha humo
uyu anangalia usalama Kwa upande mmoja tu Kwa sisi tuliowahi kusafiri usiku na magari ya mizigo sio vizuri Kwa bus la abiria kusafiri nyakati za usiku Kuna uwezekano mkubwa wa kupata ajali usiku malori ni mengi sana BarabaraniSafari za usiku ni hatari TZ
Mkitekwa tena mje muilaumu serikali?Tuvumilie kwa sababu gani wakati mtu angefika Mpanda saa 6 usiku na kesho anaenda kazini au kwenye biashara zake?
Dawa ni kusafiri na private car, humu hakuna suruhisho jombi.Wadau tumetoka Dar na Bus la HAPPY NATION saa 12 asubuhi na tumefika hapa Sikonge, Tabora Bus limezuiwa kuendelea na safari eti mpaka saa 12 asubuhi, eti kwa sababu njiani kuna mapori makubwa.
Kwa maoni yangu hii si sawa kabisa, yaani pamoja na jitihada kubwa za serikali kukamilisha barabara hii na sasa ni lami kutoka Dar mpaka Mpanda, bado tunawapotezea muda watanzania kukaa hapa masaa 8 kisa hatuwezi kuimarisha usalama?
Hivi tutajikwamua vipi na umasikini ikiwa tunapoteza muda kiasi hiki? Halafu sehemu yenyewe hakuna hata stend yenye facilities za kuhudumia hata abiria wa Bus mbili. Kingine cha kushangaza kwenye maamuzi yetu ni kwamba hivi unawezaje kuacha bus ilale Tabora mjini kwenye huduma nyingi halafu uje kuzuia ma Bus Sikonge?
Kwa staili hii ya kupotezeana muda kiasi hiki uchumi wa kati tutausikia tuu kwa wenzetu. Nimesikitika sana kwa kweli.